Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
[emoji23] [emoji23] [emoji23]ndio shida ya kuoa wanawake wadogo,me mke wangu amenizidi miaka 10 yaani nikiweka kichwa tu ni yoweeeeeee mpaka mwisho,kwahiyo me najihesabu niko fiti
Excellent kabisa [emoji2] [emoji3] [emoji2]ndio shida ya kuoa wanawake wadogo,me mke wangu amenizidi miaka 10 yaani nikiweka kichwa tu ni yoweeeeeee mpaka mwisho,kwahiyo me najihesabu niko fiti
Kwani we ni mwanamke?Hii inadhihilisha kuwa wanaume wengi wana tatizo la nguvu za kiume.
Kweli? Najua kigwangala atabishaHata usipoweka hiyo Hurba, Maziwa na Tende pekee pia inasaidia sana! Wanaume acheni kunywa soda kunyweni vinywaji vinavyoeleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
UnavyoOngelea kusaga Tende, unamaanisha unasaga na zile mbegu zake?Usinywe kitu kama dawa,kunywa kama kinywaji chako cha kawaida! Nikwambiacho hicho ni kinywaji cha kawaida kwa ajili ya mume wangu huwa namsagia tende kwa Maziwa anakunywa safi,ni kinywaji si dawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nzur mkuu.Ukishindwa hiyo ya mtoa mada tumia hii rahisi kabisa
Nunua karanga mbichi zako kilo 1 weka gheto kwa siku uwe unatafuna at least kiganja kimoja cha mkono, yaani we fanya kama unatafuna for fun ila inasaidia sana sana
Halafu jitahidi uwe unakula at least kipande kimoja cha parachichi kila siku
Rahisi sana hiyo ushindwe mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa mbegu mkuu,..anamaana ya.kuzifanya ziwe uji uji na unaweza tumia brendaUnavyoOngelea kusaga Tende, unamaanisha unasaga na zile mbegu zake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vizur mkuu..ongezea na hurba ili kusafisha zaid kibofu cha mkojo hyw mavyakula ya mafuta hukimbilia kule ..ukitumia hurba itakuchamsha zaid mkuuMimi natumia tende na maziwa,hii imenisaidia kuupa nguvu ya ziada mwili wangu na pia imeongeza hamu na nguvu ya kufanya mapenzi
Karibu kufuga ndevu...nyingi itakuongezea homoni nyingi za kiume na utakua vizur tuuKm hujaeleweka mkuu kivp