Maziwa, tende na hurba

Maziwa, tende na hurba

ndio shida ya kuoa wanawake wadogo,me mke wangu amenizidi miaka 10 yaani nikiweka kichwa tu ni yoweeeeeee mpaka mwisho,kwahiyo me najihesabu niko fiti
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anakubemenda huyo na huwezi kwenda zaidi ya gori mbili hajachoka
 
Ukishindwa hiyo ya mtoa mada tumia hii rahisi kabisa

Nunua karanga mbichi zako kilo 1 weka gheto kwa siku uwe unatafuna at least kiganja kimoja cha mkono, yaani we fanya kama unatafuna for fun ila inasaidia sana sana

Halafu jitahidi uwe unakula at least kipande kimoja cha parachichi kila siku

Rahisi sana hiyo ushindwe mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nzur mkuu.
 
Mimi natumia tende na maziwa,hii imenisaidia kuupa nguvu ya ziada mwili wangu na pia imeongeza hamu na nguvu ya kufanya mapenzi
 
Mimi natumia tende na maziwa,hii imenisaidia kuupa nguvu ya ziada mwili wangu na pia imeongeza hamu na nguvu ya kufanya mapenzi
Vizur mkuu..ongezea na hurba ili kusafisha zaid kibofu cha mkojo hyw mavyakula ya mafuta hukimbilia kule ..ukitumia hurba itakuchamsha zaid mkuu
 
Tumieni halafu mtuletee mrejesho maana hizi dawa za mimea bila vipimo maalumu unaweza tumia ukashangaa jogoo kapanda mtungi vizuri halafu anagoma kushuka...
 
Back
Top Bottom