[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu tumia tu mi ndo marejesho nimeyatoa kupia kuuandika huu uzi...iko vizur hiiTumieni halafu mtuletee mrejesho maana hizi dawa za mimea bila vipimo maalumu unaweza tumia ukashangaa jogoo kapanda mtungi vizuri halafu anagoma kushuka...
Vizur mkuu..ongezea na hurba ili kusafisha zaid kibofu cha mkojo hyw mavyakula ya mafuta hukimbilia kule ..ukitumia hurba itakuchamsha zaid mkuu
Ulikua hujui eeeh tena ya kudumuHahaha..kumbe mzuzu ukifuga nayo dawa aiseee kumbe elimu bahari.
Unaweza kunywa soda sio tatizo ila uwe unatumia vitu vya kuflash sumu ya soda mfano, ndimu ,limao nk weka tone kwenye chai, maji au kinywaji chochote.Hata usipoweka hiyo Hurba, Maziwa na Tende pekee pia inasaidia sana! Wanaume acheni kunywa soda kunyweni vinywaji vinavyoeleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya umchanganyie na hurba itamsaidia kusafisha kibofu na kutanua zaid misul yake so mzunguko wa damu utakuwq mzur kwakeUsinywe kitu kama dawa,kunywa kama kinywaji chako cha kawaida! Nikwambiacho hicho ni kinywaji cha kawaida kwa ajili ya mume wangu huwa namsagia tende kwa Maziwa anakunywa safi,ni kinywaji si dawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu..ni kwel piaIla sio kila mwenye tatizo la nguvu za kiume dawa yake ni msosi.
Wengine wanahitaji msaada wa kiasaikolojia zaidi kutokana na mfadhaiko kwa mambo mbali mbali.
Usitibu tatizo ikiwa hujui chanzo cha tatizo.
Hans Pol
Kumbe ndo nyinyi mnatuua wageniHata Maziwa(glasi 1)asali(vijiko3)na kahawa(kijiko1) Changanya pamoja, asbh na jioni. Dude litakuwa Mubashara.
Wanaume acheni vinywaji visivyo na faida.
90% ya soda kwangu ni kwa ajili ya wageni tu.
Sitaki kuongeza matatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiii ni kweli nilishatumia kitu kinaenda vzur game za kutosha bila waswasKaifah hali jamia...
Wanaume wote leo nawapen dawa ya kuboost nguvu zako za kiume ..km wasemavyo ktk jamii ya kileo uzur wa mwanaume si sura,umbo(six pack) wala fedha ila uzur wako mwanaume ni mashine,au mkoyongo au uwezo wako ktk kulolanjimba..
Sasa dawa yenyewe ni km nilivyotaja hpo juu, ni maziwa,tende na hurba au unawezs kuiita kwa kiswahil uwatu.
Upatikanaj wake nadhan unafaamika maziwa,tende..na hurba au uwatu ni unga unga iv,unapatikana ktk maduka ya tiba asilia au tunaits maduka ya kisuna mara nying inapatikana huko.
Tabu yote ya haya ni kutokana ulaji wetu mbovu wa kila siku hasa vyakula vinavyotumia mafuta meng kupikia mfno chips,nyama za kukaangaa,kuku,ng'ombe,mbuz nk. Sasa haya mafuta ndo yanatuaribu sana.
Matumizi yke.
1. Chukua glass moja ya maziwa fresh ya uvuguvugu...
2. Saga tende kazaa ktk brenda ili kupata ulojo wa kuchanganya ktk glac yko ya maziwa fresh.
3. Chukua kijiko kidogo cha chai chota dawa yko ya hurba kidogo changanya pia afu baada ya mchanganyiko huo kutulia kidogo kunywa.
Hili lifanywe asubuhi mara moja kwa siku kwa mda wa siku 14 kisha baada ya kumaliza siku 14 siku ya kumi 15 asubuhi tafuta chupa ya maji safi kojoa mkojo wako humo utauona jinsi mkojo waoko ulivyo na mafutamafuta hii hu£aidiA kuamsha dude.
Mi sio tabibu lkn nifaamishwa na tabibu ivo nikatumia na nikaona hyo matokeo na sasa ni tiba ninayotumia marakwa m@ra nikaona nishare na wanaume wezangu..na inakupa matokeo mazuri.
NIMESOMA TU KICHWA CHA HABARI NIKAJUA NI DAWA YA PENZI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume wa dar inawafaa sana hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari mkuundio shida ya kuoa wanawake wadogo,me mke wangu amenizidi miaka 10 yaani nikiweka kichwa tu ni yoweeeeeee mpaka mwisho,kwahiyo me najihesabu niko fiti
Kunywa itakusaidiavp kuhusu sisi tulioathilika na upigaji punyeto, itatufaa hii tiba?