Kaifah hali jamia...
Wanaume wote leo nawapen dawa ya kuboost nguvu zako za kiume ..km wasemavyo ktk jamii ya kileo uzur wa mwanaume si sura,umbo(six pack) wala fedha ila uzur wako mwanaume ni mashine,au mkoyongo au uwezo wako ktk kulolanjimba..
Sasa dawa yenyewe ni km nilivyotaja hpo juu, ni maziwa,tende na hurba au unawezs kuiita kwa kiswahil uwatu.
Upatikanaj wake nadhan unafaamika maziwa,tende..na hurba au uwatu ni unga unga iv,unapatikana ktk maduka ya tiba asilia au tunaits maduka ya kisuna mara nying inapatikana huko.
Tabu yote ya haya ni kutokana ulaji wetu mbovu wa kila siku hasa vyakula vinavyotumia mafuta meng kupikia mfno chips,nyama za kukaangaa,kuku,ng'ombe,mbuz nk. Sasa haya mafuta ndo yanatuaribu sana.
Matumizi yke.
1. Chukua glass moja ya maziwa fresh ya uvuguvugu...
2. Saga tende kazaa ktk brenda ili kupata ulojo wa kuchanganya ktk glac yko ya maziwa fresh.
3. Chukua kijiko kidogo cha chai chota dawa yko ya hurba kidogo changanya pia afu baada ya mchanganyiko huo kutulia kidogo kunywa.
Hili lifanywe asubuhi mara moja kwa siku kwa mda wa siku 14 kisha baada ya kumaliza siku 14 siku ya kumi 15 asubuhi tafuta chupa ya maji safi kojoa mkojo wako humo utauona jinsi mkojo waoko ulivyo na mafutamafuta hii hu£aidiA kuamsha dude.
Mi sio tabibu lkn nifaamishwa na tabibu ivo nikatumia na nikaona hyo matokeo na sasa ni tiba ninayotumia marakwa m@ra nikaona nishare na wanaume wezangu..na inakupa matokeo mazuri.