Huko ulikopatia hizi nyepesi walisema yanatibu nini?
Upele umepata mkunaji.Maziwa ya mbuzi, yana ubora na ni mazuri kutumiwa hasa kwa watoto, wazee na wagonjwa wa vidonda vya tumbo wakiwemo wenye virusi vya Ukimwi. Maziwa hayo yana asilimia nne ya mafuta, lactose asilimia nne na protini asilimia tatu hadi nne, ambapo Vitamin A yake ni nzuri kwa lishe bora kwa binadamu.
Mama Mkwe wangu farkhina hujambo lakini? Mpe mchumba wangu maziwa ya mbuzi kwa afya yake.
Unaweza pia kunitembelea blog yangu kwa kubonyeza hapa.Mzizi Mkavu