Maziwa ya mbuzi

Maziwa ya mbuzi

Ngigana

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Posts
2,106
Reaction score
1,443
Nyepesi zinasema maziwa ya mbuzi ni dawa. Mwenye taarifa sahihi alete elimu. Ahsante
 
Maziwa ya mbuzi, yana ubora na ni mazuri kutumiwa hasa kwa watoto, wazee na wagonjwa wa vidonda vya tumbo wakiwemo wenye virusi vya Ukimwi. Maziwa hayo yana asilimia nne ya mafuta, lactose asilimia nne na protini asilimia tatu hadi nne, ambapo Vitamin A yake ni nzuri kwa lishe bora kwa binadamu.

Mama Mkwe wangu farkhina hujambo lakini? Mpe mchumba wangu maziwa ya mbuzi kwa afya yake.

800px-Goat_kid_feeding_on_mothers_milk.jpg



450px-Milk_glass.jpg


Unaweza pia kunitembelea blog yangu kwa kubonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Upele umepata mkunaji.
 
maziwa ya mbuzi ni matamu sana jamani ila nasikitika kusema kuwa nimeyamis sana one day ntayarudia.
 
Back
Top Bottom