Maziwa ya mpenzi wangu madogo

Maziwa ya mpenzi wangu madogo

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Pamoja na kuwa na ujauzto,mwez wa pili sasa, maziwa yake madoogo. Kama ndo yanachomoza,hamna dalil ya kukua sana. Akilala na mgongo kama unaona madoogo. Ni wa 1992. Je,kuna tatzo hapo?
 
Hakuna tatizo ila kadiri mimba itakavyokuwa ndivyo maziwa yatajitengeneza. Tofaut na hapo ni tatizo
 
sio tatizo hilo jamaa, ili hali afya yake ni nzuri, labda ikija kujifungua na maziwa hayatoki ndio tatizo...
 
Maumbile yapo tofauti si kwa binaadamu tu hata wanyama au hata mimea!!Huna utashi wa kutambua hilo???
 
Haina shida mtt atanyonya vizuri tena watu wenye maziwa madogo hawapati shida kunyonyesha mtt anashiba vizuri tu
 
Pamoja na kuwa na ujauzto,mwez wa pili sasa, maziwa yake madoogo. Kama ndo yanachomoza,hamna dalil ya kukua sana. Akilala na mgongo kama unaona madoogo. Ni wa 1992. Je,kuna tatzo hapo?

Wanasaikolojia wanasema hao wenye maziwa madogo wanakua sio walezi wazuri wa watoto. Yaani anaweza hata kumtupa chooni mtoto wake. Hicho ndio cha kuhofia na si vinginevyo
 
We jamaa!!!...hutaki hata apumzike! matatizo juu ya matatizo? "umeshamuongezea matatizo badala ya kumsaidia!
 
Aiseeee......

Wanasaikolojia wanasema hao wenye maziwa madogo wanakua sio walezi wazuri wa watoto. Yaani anaweza hata kumtupa chooni mtoto wake. Hicho ndio cha kuhofia na si vinginevyo
 
Sijui tatizo ni nini lakini napenda mwanamke mwenye maziwa makubwa,kwa faida yangu na mtoto...! Hata kuyaona tu ni raha mustarehe.
 
Wanasaikolojia wanasema hao wenye maziwa madogo wanakua sio walezi wazuri wa watoto. Yaani anaweza hata kumtupa chooni mtoto wake. Hicho ndio cha kuhofia na si vinginevyo
Huyo kajifungua mtoto anamlea vizuri kuliko kawaida
 
uyo atakuvutia daima kaka yan utamtaman na utadum nae tofaut na wenye makubwa yanawai kudhoofu af ndo unamchoka mapema
 
Back
Top Bottom