mbona mimi umenisahau
Tafuta mbegu za maboga, saga, tia kwenye juice au uji! Utatoa maziwa balaa! Ni recipie ya wa Mexico/Mehico! Ukinyunyiza pilipili manga baridaaaaa!
Kunywa uji wa ulezi pia...ymikishindikana rudi hsptl
Mmh huo unaleta constipesheni
Akitumia ule wa lishe ndio mzuri...mm wife alikuwa na tatizo hilo alitumia ule maziwa yakawa kibao mpk yanamwagika yenyewe
Chukua mbegu za mabogo kaanga, na uwe unaweka kwenye mboga.
Hii sredi itunzwe for fyucha yuzi!mie nna matatizo, naogopa supu ya pweza kama nini.
Nahisi ntasimamisha hata vidole kama vya chama.
we bado saa sita!! Loh!
Asante Evelyn. Nakaribisha wenye watoto wa kiume wawekeze lol
Asante Evelyn. Nakaribisha wenye watoto wa kiume wawekeze lol
Tafuta mbegu za maboga, saga, tia kwenye juice au uji! Utatoa maziwa balaa! Ni recipie ya wa Mexico/Mehico! Ukinyunyiza pilipili manga baridaaaaa!
Hahaaaaaa! Kwa upambe wewe na kongosho hamna upinzani!Hivi wifi kitumbo kimeshaanza kutokeza? Kuna botiki ya shosti ina maternity wear za maana zinafaa hata kuendea disco na club, uniambie nikakuspoil