Maziwa ya mtoto yanatoka machache, naombeni ushauri

Maziwa ya mtoto yanatoka machache, naombeni ushauri

Chukua mbegu za mabogo kaanga, na uwe unaweka kwenye mboga.
 
Tafuta mbegu za maboga, saga, tia kwenye juice au uji! Utatoa maziwa balaa! Ni recipie ya wa Mexico/Mehico! Ukinyunyiza pilipili manga baridaaaaa!

Mamy mbegu hizi naweka mbichi au nazichemsha au nazikaanga kabla? Maana kwa hali ilivyo mbaya hata mbichi ntakula! Ila lara1 na huku upo deep pia...? Mashallah! Ngoja maziwa yatoke ntarudi kwako lol. Nashukuru
 
Akitumia ule wa lishe ndio mzuri...mm wife alikuwa na tatizo hilo alitumia ule maziwa yakawa kibao mpk yanamwagika yenyewe

Uji wa ulezi kwa mzazi wa wiki?
Mmmh susu itakuwa ngumu hatari!
 
Sio wakinamama tuu hata wakina baba tunajua formula hizo bana, nyingi wameshataja hapo juu. Waambie wawe wanakupa supu ya mbuzi hasa utumbo kila siku ukiamka asubuhi.
 
Hongera 64Bits kwa kuwa mama.
Kausha mbegu za maboga,saga unga wake changanya kwenye uji wenye pili pili mtama unywe,supu unayopewa iwe na nyanya chungu pia.
Yatatoka mamy.
 
Last edited by a moderator:
Hivi wifi kitumbo kimeshaanza kutokeza? Kuna botiki ya shosti ina maternity wear za maana zinafaa hata kuendea disco na club, uniambie nikakuspoil
Tafuta mbegu za maboga, saga, tia kwenye juice au uji! Utatoa maziwa balaa! Ni recipie ya wa Mexico/Mehico! Ukinyunyiza pilipili manga baridaaaaa!
 
Hivi wifi kitumbo kimeshaanza kutokeza? Kuna botiki ya shosti ina maternity wear za maana zinafaa hata kuendea disco na club, uniambie nikakuspoil
Hahaaaaaa! Kwa upambe wewe na kongosho hamna upinzani!
 
Too many pregnant women in here..Hongera na hongereni
 
Hongera 64Bits kwa kuwa mama.
Kausha mbegu za maboga,saga unga wake changanya kwenye uji wenye pili pili mtama unywe,supu unayopewa iwe na nyanya chungu pia.
Yatatoka mamy.

Asante mamy nashukuru ntakulindia inshallah
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom