samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
Kwa uelewa wangu ni kwamba maziwa hayana effect kwenye sumu bali yana-delay/retard absorption of poison from the intestines.naomba tujadili juu ya maziwa ya ng'ombe, watu wenge husema,mtu akinywa sumu maziwa huweza kumsaidia akapona, pia mtu anayefanya kaza mahali penye vumbi,moshi,kamavile viwanda vya tumbaku etc! Naomba kujuzwa na wataalam wa afya,je maziwa ni dawa au kinga??
sasa wewe bibie umeunguwa Thread 3 zote zinaelezea neno moja kivipi lakini? hebu ona hapa https://www.jamiiforums.comhttps://www.jamiiforums.com/jf-doctor/377984-maziwa-ya-ngombe-ni-dawa.html/
na ingine hii hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/377984-maziwa-ya-ngombe-ni-dawa.html Sasa mbona unajaza Server bure ? si ungefunguwa Thread moja tu inatosha kuuliza swali lako kuliko kufunguwa Thread 3 kisha unauliza swali hilo hilo moja tutakujibu kivipi?