maziwa ya ng'ombe ni dawa?

maziwa ya ng'ombe ni dawa?

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
355
naomba tujadili juu ya maziwa ya ng'ombe, watu wenge husema,mtu akinywa sumu maziwa huweza kumsaidia akapona, pia mtu anayefanya kaza mahali penye vumbi,moshi,kamavile viwanda vya tumbaku etc! Naomba kujuzwa na wataalam wa afya,je maziwa ni dawa au kinga??
 
Kwa uelewa wangu ni kwamba maziwa hayana effect kwenye sumu bali yana-delay/retard absorption of poison from the intestines.
 
sasa wewe bibie umeunguwa Thread 3 zote zinaelezea neno moja kivipi lakini? hebu ona hapa https://www.jamiiforums.comhttps://www.jamiiforums.com/jf-doctor/377984-maziwa-ya-ngombe-ni-dawa.html/
na ingine hii hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/377984-maziwa-ya-ngombe-ni-dawa.html Sasa mbona unajaza Server bure ? si ungefunguwa Thread moja tu inatosha kuuliza swali lako kuliko kufunguwa Thread 3 kisha unauliza swali hilo hilo moja tutakujibu kivipi?

Nitake radhi mzizi mkavu mimi sio binti! Kutokea kwa thread tatu ni network problem kwa ilikua inaonyesha not responding nilipojaribu kuresand ndio ikatokea hivo,je nawezaje futa?
 
Back
Top Bottom