Wakuu naomba kufahamishwa kuhusu faida na pengine madhara anayoweza pata mtumiaji wa maziwa ya unga NIDO,kwa maana kunadaktari moja alimshauri mama mjamzito atumie kwa wingi na dokta mwingine alimshauri asitumie so kabaki na kutoelewa yupi anaushauri mzuri