Maziwa ya nido ni hatari?

Maziwa ya nido ni hatari?

Kimetah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
1,049
Reaction score
189
Wakuu naomba kufahamishwa kuhusu faida na pengine madhara anayoweza pata mtumiaji wa maziwa ya unga NIDO,kwa maana kunadaktari moja alimshauri mama mjamzito atumie kwa wingi na dokta mwingine alimshauri asitumie so kabaki na kutoelewa yupi anaushauri mzuri
 
Ndugu yangu hayo maziwa co mazuri kabisa hayafai.
 
Daaah swali zuri xana japo wadau wamelikimbia, tunaomba msaada wa majibu jamani wakuu
 
Back
Top Bottom