Maziwa ya NIDO

Maziwa ya NIDO

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,878
Reaction score
5,432
Habarin wanajamii wote humu ndani,natumain mu wazima wa afya! Wagonjwa polen na natumain MUNGU atawaponya! Sasa JF doc mi ninataka kufaham jambo moja! Kwamb haya maziwa ya Nido yanamadhara yoyote katik mwili wa mtoto,au mtu mzima kama akiyatumia? Ni hilo tu. Mwenye kujua zaidi naomba anijuze kwa faida yangu na sote kwa ujumla.
 
Tembelea hapa: NIDO NUTRITION SYSTEM au hapa: NIDO Product Info
 
nadhani muhimu ni kufuata maelekezo kwenye product package (especially kwa mtoto).bt kwa watu wazima nafurahia zaidi cowbelly.apart from kashfa za kuchakachuliwa na maziwa yenye sumu kutoka china,amabyo ilishughulikiwa nadhani,sioni kama kuna madhara.
 
Back
Top Bottom