Dr wa ukweli
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 900
- 271
Kuna mdada anaomba ushauri, akikamua chuchu zinatoa maji ya njano ni tatizo gani? Age 23, hajawahi pata mimba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mdada anaomba ushauri, akikamua chuchu zinatoa maji ya njano ni tatizo gani? Age 23, hajawahi pata mimba.
nimemshauri kesho akapime,Dr wa ukweli hongera sana umlenga shabaha.
nimemshauri kesho akapime,
Kwani kakwambia haitaki??Mwambie akaitoe hyo mimba haraka iwezekanavyo
Kuna mdada anaomba ushauri, akikamua chuchu zinatoa maji ya njano ni tatizo gani? Age 23, hajawahi pata mimba.
Mimi nilidhani wewe Dr. wa Ukweli una majibu kumbe huna tofauti na Dr. Augustine Lyatonga Mrema.
mkuu kuna Dr wa aina nyingi, swala la mimba siyo coz hajasex muda yapata miezi mitatu sasa na period anapata kama kawaida
Title ya thread haiko sawa....sio MAZIWA ni MATITI au MANYONYO