Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,112
- 1,429
Hizi ofisi za Serikali siku hizi mambo yamerudi vile vile kama zamani sikuwahi kuombwa rushwa leo nimeombwa rushwa watumishi wanafanya kazi utafikiri za baba zao.
Kweli mtu nimetuma barua toka mwezi wa tatu kila ukienda haijajibiwa kumbe kuna mtu kaweka barua pembeni kisa anataka rushwa sasa si angeniambia kipindi kile kile ningekuwa nishampa hiyo rushwa.
NB: Watumishi tufanye kazi kwa weredi jamani utakuta mtu kitu ni cha kukaa saa moja lkn watakuweka hata saa sita siyo fair inakera sana.