Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,112
- 1,429
Issue ya kuripoti takukuru ni sawa, ila unahitaji muda kuacha hiyo kazi yako uanze ku deal na case.Acha uzembe mkuu, Ungetoa taarifa TAKUKURU...alafu huku ungekuja kututaarifu jinsi ulivyomkamatisha huyo mpuuzi.
If it can be done..play your part.
Kweli kabisaIssue ya kuripoti takukuru ni sawa, ila unahitaji muda kuacha hiyo kazi yako uanze ku deal na case.
Sasa mtu barua imekwama unaihitaji haraka sasa mtu wa kushughulikia ndo unampeleka korokoroni halafu urudi kushughulikia barua yako!
Kwa enzi hizi za kula kwa urefu wa kamba yako utapata tabu sana kupata huduma.
Nikisema nimshtaki atanichelewesha na ukifikiria barua toka mwezi wa tatuAcha uzembe mkuu, Ungetoa taarifa TAKUKURU alafu huku ungekuja kututaarifu jinsi ulivyomkamatisha huyo mpuuzi.
If it can be done..play your part.
Human Resource grade 2Wakuu, hivi Afisa utumishi Daraja la 2,kwa kiingereza tunamuitaje ?
Human Resource Officer IIWakuu, hivi Afisa utumishi Daraja la 2,kwa kiingereza tunamuitaje ?
Kuna mwaka nilikwenda Mahakamani kugongewa mhuri kwenye affidavity yangu ya kupeleka uhamiaji, nikapokelewa na vibibi viwili vyenye tabasamu la kuchonga nikijua ni maboresho ya huduma za mahakama, vikaingia kwenye chumba kimoja, vilipotoka vikaanza kunipiga danadana, nikaviambia nirudishieni form yangu niondoke vikasema ipo mezani kwa boss njoo kesho, kesho nikaenda vikasema mhuri haupo... nikaona isiwe taabu nikaviachia form nikaenda kuprocess form nyingine kupitia rafiki changu, majuzi kibibi kimoja kimestaafu kimekuja kuwa kijirani yangu na huwa kinakuja kuomba maji kwangu, navuta kasi nikiulize form yangu ilipotelea wapi.Hizi ofisi za Serikali siku hizi mambo yamerudi vile vile kama zamani sikuwahi kuombwa rushwa leo nimeombwa rushwa watumishi wanafanya kazi utafikiri za baba zao.
Kweli mtu nimetuma barua toka mwezi wa tatu kila ukienda haijajibiwa kumbe kuna mtu kaweka barua pembeni kisa anataka rushwa sasa si angeniambia kipindi kile kile ningekuwa nishampa hiyo rushwa.
NB: Watumishi tufanye kazi kwa weredi jamani utakuta mtu kitu ni cha kukaa saa moja lkn watakuweka hata saa sita siyo fair inakera sana.
Ni muda wa walamba asali.Hizi ofisi za Serikali siku hizi mambo yamerudi vile vile kama zamani sikuwahi kuombwa rushwa leo nimeombwa rushwa watumishi wanafanya kazi utafikiri za baba zao.
Kweli mtu nimetuma barua toka mwezi wa tatu kila ukienda haijajibiwa kumbe kuna mtu kaweka barua pembeni kisa anataka rushwa sasa si angeniambia kipindi kile kile ningekuwa nishampa hiyo rushwa.
NB: Watumishi tufanye kazi kwa weredi jamani utakuta mtu kitu ni cha kukaa saa moja lkn watakuweka hata saa sita siyo fair inakera sana.
HR2ndCLASS nafikiri hivyo mkuuWakuu, hivi Afisa utumishi Daraja la 2,kwa kiingereza tunamuitaje ?
Njaa mbaya sanaWanakera sana harafu wanawafanyia mpaka watumishi wenzao wa umma
[emoji3][emoji3][emoji3]Chadema wanapenda rushwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mwaka nilikwenda Mahakamani kugongewa mhuri kwenye affidavity yangu ya kupeleka uhamiaji, nikapokelewa na vibibi viwili vyenye tabasamu la kuchonga nikijua ni maboresho ya huduma za mahakama, vikaingia kwenye chumba kimoja, vilipotoka vikaanza kunipiga danadana, nikaviambia nirudishieni form yangu niondoke vikasema ipo mezani kwa boss njoo kesho, kesho nikaenda vikasema mhuri haupo... nikaona isiwe taabu nikaviachia form nikaenda kuprocess form nyingine kupitia rafiki yangu, majuzi kibibi kimoja kimestaafu kimekuja kuwa kijirani yangu na huwa kinakuja kuomba maji kwangu, navuta kasi nikiulize form yangu ilipotelea wapi.
[emoji3][emoji3][emoji3]Halafu sasa bora wawe wanasema moja kwa moja utakuta wanakuzungusha sasa wakati mwingine huna hata hilo wazo la kujiongeza unakuja kushtuka baadaeKuna mwaka nilikwenda Mahakamani kugongewa mhuri kwenye affidavity yangu ya kupeleka uhamiaji, nikapokelewa na vibibi viwili vyenye tabasamu la kuchonga nikijua ni maboresho ya huduma za mahakama, vikaingia kwenye chumba kimoja, vilipotoka vikaanza kunipiga danadana, nikaviambia nirudishieni form yangu niondoke vikasema ipo mezani kwa boss njoo kesho, kesho nikaenda vikasema mhuri haupo... nikaona isiwe taabu nikaviachia form nikaenda kuprocess form nyingine kupitia rafiki yangu, majuzi kibibi kimoja kimestaafu kimekuja kuwa kijirani yangu na huwa kinakuja kuomba maji kwangu, navuta kasi nikiulize form yangu ilipotelea wapi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]natoa hamna namnaNi muda wa walamba asali.
Sa100 kabariki wale kwa urefu wa kamba..toa hela acha kulia lia.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app