Mazoezi maeneo ya kinondoni

Mazoezi maeneo ya kinondoni

asumpta

Member
Joined
May 18, 2012
Posts
46
Reaction score
8
wakuu habari zenu?

naomba mnisaidie kunielekeza sehemu ya kufanyia mazoezi ili kuweka mwili fit yaliyo maeneo ya kinondoni au mwananyamala namaanisha gym.mkinisaidia na bei ntafurahi sana,nataka nifanye mazoezi ili niweke mwili safi kama tunavyoshauriwa na wataalam.
 
Back
Top Bottom