Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Recruits Training SchoolKalunde haijawahi kuwa rts labda mafinga,makutupora na kunduchi ndio ziliwahi kuwa ila sio kalunde.
Labda kama hujui maana ya rts
Unamtakia mema kweli?Picha
Ni msimu wa uchaguzi , na hivyo ni Vitisho kwa raia chama chetu hakina uwezo wa kushindana kwa hoja jukwaani hivyo tunategemea vitisho vya majeshiKwa wiki nzima hii nimekuwa nikiona vikosi vya jeshi wakitembea mtaani hapa Tabora, wakiwa wameshika bunduki, wakitembea kwa mstari, ukipita maeneo ya kule Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wao ndio wamezagaa mule ndani na ndio wanaofungua na kufunga mageti.
MIsururu ya magari yao inakatiza, hii inatisha watu tena wakati wa misululu hiyo juu kunakuwa na Escot ya Helkopta wenye kujua nini kinaendelea watujuze maana inatisha walahi
Kwenu wanajamvi..
Ni sahihi lakini junior ilikuwa inapigishwa pale na saahizi wanapigisha senior lakini kalunde haijawahi kupigisha course ya recruit hivyo haijawahi kuwa rtsRecruits Training School
Zamani miaka ya 90 mwishoni niliwahi ishi maeneo hayo, wanajeshi walikuwa wakiita kalunde hivyo.
Na nilikuwa naona zile courses za junior na senior zikiendelea pale
Labda nao uelewa ulikuwa mdogo, walizoea kuita Kalunde RTSNi sahihi lakini junior ilikuwa inapigishwa pale na saahizi wanapigisha senior lakini kalunde haijawahi kupigisha course ya recruit hivyo haijawahi kuwa rts