Mazoezi makuu ya ngao combat

Mazoezi makuu ya ngao combat

Joined
Mar 30, 2020
Posts
68
Reaction score
106
1. KUKIMBIA - KUKIMBIA
Ngao wanakimbia katika milima kupanda na kushuka, batabarani na katika viwanja. Zoezi hili humya shujaa wa ngao awe mvumilivu kama chuma, asichoke haraka katika wakati, mtu wepesi wa kumpa ushindi adui, wepesi wa kushambulia na kuzuia . Pia humfanya mtu awe na nguvu za mwili na stamina.
.
.SQUATS - KUCHUCHUMAA
.zoezi hili humfanya shujaa awe na mapigo mazito na imara kama chuma, pia, huimarisha miguu, mapaja, magoti. Na kuongeza kasi, ya mapigo ya kushtukkjza na stance.
.
 

Attachments

  • SGN_11_01_2026_1793502772542.png
    SGN_11_01_2026_1793502772542.png
    2.1 MB · Views: 1
Hapana, jeshi lililinda raia wake vema kabisa, ndio maana amani ipo hadi leo, kama sio jwtz na viongozi wao nchi hii hadi leo ingekuwa inadoa jekundu katika bendera.
Wacha ujinga wewe, na wale watu waliouawa vibandani wakitazama mpira waliuawa vipi sasa?
 
Back
Top Bottom