Mazoezi muhimu kwa mpenzi wako

Yaani ukipasha sana unatengeneza mpaka figa yenye mvuto

I see kama ukipiga chuma ndo unajazia makalio basi na mm bi mdogo nitakuwa namlipia bill aende gym.
 
mazoezi ya wastani ni muhimu kunogesha mechi
 
mmmhh jamani
kukimbia na set up mazoezi tosha kabisa..
simple and 100% free..
 



Huyo unayemueleza ni shosti huyuhuyu ninayemjua,au ni mwingine?Maana niko karibu kuanza wivu hapa.
 
Duh!, demu ana t.a.k.o. zuri mno yaani nime-n.y.e.g.e.k.a sana, lakini sio mbaya mke wangu analo kama hilo.
 
Mazoezi nguvu zako tu bwana kama uko fit uko fit tuu hata ufanyeje kama huwezi huwezi tu hakuna cha mazoezi. Mazoezi gani na viatu virefu vilee???
 
Mazoezi nguvu zako tu bwana kama uko fit uko fit tuu hata ufanyeje kama huwezi huwezi tu hakuna cha mazoezi. Mazoezi gani na viatu virefu vilee???
Duuuhhh nilikuwa sijaona hicho kiatu dear. ..
mmmhhh labda alifanya tu hivyo kupiga picha. ..lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…