The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,049
- 306
Shosti mazoezi ni muhimu sana kwa afya yako.
Shosti mazoezi ni muhimu kuweka akili ikae sawa
Shosti ukipasha misuli hata mwenzio wala humsumbui
Shosti ukiwa fit una mpa raha mwenzako utagalauka kote kote.
Shostito mapenzi bila mazoezi ni sawa na bia bila chakula
Shostito utawezaje kumpeleka mwenzio puta bila kufanya mazoezi?
Shostito mazoezi yanasaidia kupunguza vitambi vya pombe
hii zoezi ni kwa ajili ya kujenga pande ipi sasa? maana kama vile tartibu za zoezi zimekiukwa hapo.
