The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,049
- 306
Shosti mazoezi ni muhimu sana kwa afya yako.
Shosti mazoezi ni muhimu kuweka akili ikae sawa
Shosti ukipasha misuli hata mwenzio wala humsumbui
Shosti ukiwa fit una mpa raha mwenzako utagalauka kote kote.
Shostito mapenzi bila mazoezi ni sawa na bia bila chakula
Shostito utawezaje kumpeleka mwenzio puta bila kufanya mazoezi?
Shostito mazoezi yanasaidia kupunguza vitambi vya pombe
Duuuhhh nilikuwa sijaona hicho kiatu dear. ..
mmmhhh labda alifanya tu hivyo kupiga picha. ..lol
Zoezi la kujenga wowowo hilo dah alivyo kaa kama anajisaidia lol

Hapo ndo kwenye maneno wa home hakuna cha mazoezi hapo wizi mtupu. Galamilaaahhkkk