...Mazoezi Ya Asubuhi...Yana Raha yake.

...Mazoezi Ya Asubuhi...Yana Raha yake.

Zoezi gumu ni pale ambapo Mwalimu hulala chali nami huja kulala chali juu yake,kisha twashikana mikono halafu twaenda juu,chini,juu,chini,eti asema lapunguza kitambi.

Nikichoka humlalia kifudi fudi kisha twashikana mikono pamoja na kuipeleka mikono juu,chini,juu,chini.

Shem zoezi hili huwa linanishangaza sana.
Hv nanyi huwa mnafanyiwaga hvo au ni kwa wanawake tu?



:love:
 
kwa mazoezi hayo..ndio maana umekua hivyo katika Avatar yako..?kweli mazoezi muhimu
 
mazoezi ya asbh raha bwana hata mie huwa nafanya.
 
Back
Top Bottom