THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Zoezi gumu ni pale ambapo Mwalimu hulala chali nami huja kulala chali juu yake,kisha twashikana mikono halafu twaenda juu,chini,juu,chini,eti asema lapunguza kitambi.
Nikichoka humlalia kifudi fudi kisha twashikana mikono pamoja na kuipeleka mikono juu,chini,juu,chini.
Shem zoezi hili huwa linanishangaza sana.
Hv nanyi huwa mnafanyiwaga hvo au ni kwa wanawake tu?
Bao moja la usubui kabla hamjapambua neti ni zoezi tosha.
:love:
Bila shaka Zubeda mazoezi hayo yatakuwa ya mara ya pili baada ya yale ya uwanja wa asili. Utajizeesha kwa mazoezi.
yan
jf ina maajabu sana
uuuwhiiiii...!!
Jamaniii
Mbona mwaniandama ?
Shemeji mazoezi yenu hayo duh Jamaa anajua.
Jamaniii
Mbona mwaniandama ?
WALA HUANDAMWI MADAME B
ILA KWA KWELI MMMMMMH...
:madgrin: :madgrin:
NIMEYAPENDA
:smile: :smile:
Jamani ni mazoezi tu hayo mpenzi.
mazoezi ya asbh raha bwana hata mie huwa nafanya.
Shem unawapenzi wangapi.