Habarini za asubuhi,
Ningependa niongelee hawa wanamazoezi wa efm wakiongozwa na na mtangazaji Maulid kitenge.
Wamekuwa na kawaida ya kufanya mazoezi ya kukimbia maeneo ya mitaa ya Masaki kama group .
Ni jambo zuri kiafya, ila tatizo nimekuwa kero wanakimbia bila mpangilio barabarani na wapo wengi na haya mazoezi yao ni ya Kila siku na mbaya zaidi ukiwakuta barabarani wamefunga barabarani yote huwezi kupita kama Upo na gari,
Nadhani kuna haja ya wao kujipima na kuacha kujifikiria wao tu