Mazoezi ya E FM Masaki ni kero kwa watumiaji wengine wa barabarani.

Mazoezi ya E FM Masaki ni kero kwa watumiaji wengine wa barabarani.

The Transporter

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
3,580
Reaction score
7,203
Habarini za asubuhi,

Ningependa niongelee hawa wanamazoezi wa efm wakiongozwa na na mtangazaji Maulid kitenge.
Wamekuwa na kawaida ya kufanya mazoezi ya kukimbia maeneo ya mitaa ya Masaki kama group .
Ni jambo zuri kiafya, ila tatizo nimekuwa kero wanakimbia bila mpangilio barabarani na wapo wengi na haya mazoezi yao ni ya Kila siku na mbaya zaidi ukiwakuta barabarani wamefunga barabarani yote huwezi kupita kama Upo na gari,
Nadhani kuna haja ya wao kujipima na kuacha kujifikiria wao tu
 
Ah kama masaki waendelee tu, ingekuwa huku sinza kwetu tungewamind. BTW huko si ndio anakaa mwenye mkoa wake au?
 
Hama nchi shenz.i kabisa, mtoto wa kiume kulialia mitandaoni ni upuuzi😉🙁..nakutania mwaya ata usichukie basi maana nimekutukana kwa bahati mbaya tu😛😛
 
waaacheni wapige tizi tu coz na ivi kwanini aliekua kwenye gari amthamini mtembea kwa miguu akati wote wanauhuru wakutumia hio barabara
 
Back
Top Bottom