okwili
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 221
- 35
Habari zenu wadau, nimekuwa najifundisha kifaransa mimi mwenye kwa kutumia online videos training, niko katika atua za mwanzo. Naitaji marafiki ambao wanajua kifaransa, ili niweze kua naongea nao ili nikikosea wanilekebishe. Nimetokea kuvutiwa na hii lugha, nina nia ya dhati kuifahamu vizuri hii lugha. msaada wenu tafadhari...