Mazoezi ya kujifunza kifaransa

Mazoezi ya kujifunza kifaransa

okwili

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
221
Reaction score
35
Habari zenu wadau, nimekuwa najifundisha kifaransa mimi mwenye kwa kutumia online videos training, niko katika atua za mwanzo. Naitaji marafiki ambao wanajua kifaransa, ili niweze kua naongea nao ili nikikosea wanilekebishe. Nimetokea kuvutiwa na hii lugha, nina nia ya dhati kuifahamu vizuri hii lugha. msaada wenu tafadhari...
 
Salut! Nous avons une classe de francais (disponible ici) et un espace chit chat (disponible ici). Makedha et moi somme disponibles au cas ou vous aurez des questions a poser. Bienvenue parmi nous et courage, le francais est une tres belle langue mais elle demande de la temerite!

naomba unifundishe kifaransa yaani live live.... lile darasa la kipindi kile lilinishinda.
 
Last edited by a moderator:
naomba unifundishe kifaransa yaani live live.... lile darasa la kipindi kile lilinishinda.

Itawezekanaje dear? Labda nikupe skype yangu halafu tuwe tunachat kama nususaa kila siku jioni? (offer available only for ladies, men msijilete)
 
Itawezekanaje dear? Labda nikupe skype yangu halafu tuwe tunachat kama nususaa kila siku jioni? (offer available only for ladies, men msijilete)

offer accepted. ila jioni ya sa ngapi mpendwa halafu nusu saa itatutosha kweli? tusije tukajikuta tunamaliza mwaka. nimeipenda hiyo warning.
 
offer accepted. ila jioni ya sa ngapi mpendwa halafu nusu saa itatutosha kweli? tusije tukajikuta tunamaliza mwaka. nimeipenda hiyo warning.

Nusu saa inatosha kabisa, maana method yenyewe ni kwamba lessons utapata from a professional website (for free) then mimi nakusaidia practicce na kujibu masuali yako kuhusu gramar rules na mengineyo. Kwa sasa sipo nyumbani, nikitulia nitaku-contact.
 
Itawezekanaje dear? Labda nikupe skype yangu halafu tuwe tunachat kama nususaa kila siku jioni? (offer available only for ladies, men msijilete)
mimi ni man lakini ile mashine imekufa haifanyi kazi!!
 
Rusian,longtemps vous eties ou?ok bonne annee et meilleurs voeux
 
Je'taime,monde arabe,affair d'tat,etoil d'tat,bonne journee,merci... pallaitment.
Bon nuit...
 
Back
Top Bottom