Salut! Nous avons une classe de francais (disponible ici) et un espace chit chat (disponible ici). Makedha et moi somme disponibles au cas ou vous aurez des questions a poser. Bienvenue parmi nous et courage, le francais est une tres belle langue mais elle demande de la temerite!
naomba unifundishe kifaransa yaani live live.... lile darasa la kipindi kile lilinishinda.
Itawezekanaje dear? Labda nikupe skype yangu halafu tuwe tunachat kama nususaa kila siku jioni? (offer available only for ladies, men msijilete)
offer accepted. ila jioni ya sa ngapi mpendwa halafu nusu saa itatutosha kweli? tusije tukajikuta tunamaliza mwaka. nimeipenda hiyo warning.
Itawezekanaje dear? Labda nikupe skype yangu halafu tuwe tunachat kama nususaa kila siku jioni? (offer available only for ladies, men msijilete)
je requête vous skype nom
mimi ni man lakini ile mashine imekufa haifanyi kazi!!Itawezekanaje dear? Labda nikupe skype yangu halafu tuwe tunachat kama nususaa kila siku jioni? (offer available only for ladies, men msijilete)
Rusian,longtemps vous eties ou?ok bonne annee et meilleurs voeux
Je'taime,monde arabe,affair d'tat,etoil d'tat,bonne journee,merci... pallaitment.
Bon nuit...