Mazoezi ya Lemutuz yawatoa 'machozi' madaktari,wasema ''anachokitafuta atakipata"

Ukiona MTU anafanya jambo la AJABU AJABU hadharani,,,elewa akiwa SIRINI anafanya ZAIDI ya hayo,,,Mimi nadhani tatizo lake LA KIBAMIA,,anahisi linasababishwa na TUMBO,,,ndy unapomuona kwamba LIWALO NA LIWE ,,,hili TUMBO LITOKE,,,sasa mbaya ZAIDI ni pale unapokubali kila AINA ya ushauri unaopewa na watu,,kuhusu KUTOA TUMBO NA SIRI YA KIBAMIA,,,,yaani ni kama wale jamaa Wa UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME,,Mara VUMBI LA KONGO ,,,Mara MCHUZI WA PWEZA,,Mara MIHOGO MIBICHI,,Mara KARANGA MBICHI,,,mradi tu ukiambiwa ZINARUDISHA NGUVU basi LAZIMA uzifakamie kwa wingi,,ndy ndugu yetu huyo,,,pamoja na mazoezi hayo YA AJABU AJABU anayofanya HADHARANI,,Anahitaji USHAURI,,na USHAURI WANGU KWAKE NI mazoezi ya KUKIMBIA ndy yatamsaidia,, mazoezi ,,, ya kumlalia tumboni hayasaidii kitui MAZOEZI hayasaidii kama hataacha kula HOVYO,,,kula kiasi na kwa ratiba vinginevyo,,,UTAJIUMIZA BURE..
 
Teh teh We jamaa bhana ila kwa sasa atakuwa fiti sana kwa mazoezi hayo ya kibabe na ametoa somo zuri sana kwa wanajamii kwamba mazoezi ni muhimu kwa kila MTU bila kujali umri au rika na huo ni Mfano mzuri kuna la kujifunza hapo. BIG UP WILLIAM
 
Duh, aise Wewe jamaa mleta mada ni shida kweli.

Mtu akisoma anaweza akadhani yaliyoandikwa ni ukweli mtupu.
 
Pamoja na madhaifu mengine ya huyu ndugu lakini nashangazwa sana na jinsi vijana wa kiume wanavyohangaishwa na maumbile ya huyu!!!......

How come full grown man unahangaishwa na ukubwa au udogo wa maumbile ya mwanaume mwenzako!!!!....?

Hili jambo huwa linaniacha mdomo wazi
 
Anaenda kuharibu uti wa mgongo aiseee...Tangu Agapeo amtishe ana diabetes na atapotea ndani ya miaka minne ndio kaja na mazoezi ya ajabu ambayo ni hatari kwa afya.
 
Ila jamaa still yuko fit,pamoja na kuwa na umri na umbo kubwa,yuko vizuri...akazane apige tizi apunguze tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…