mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Ukiona MTU anafanya jambo la AJABU AJABU hadharani,,,elewa akiwa SIRINI anafanya ZAIDI ya hayo,,,Mimi nadhani tatizo lake LA KIBAMIA,,anahisi linasababishwa na TUMBO,,,ndy unapomuona kwamba LIWALO NA LIWE ,,,hili TUMBO LITOKE,,,sasa mbaya ZAIDI ni pale unapokubali kila AINA ya ushauri unaopewa na watu,,kuhusu KUTOA TUMBO NA SIRI YA KIBAMIA,,,,yaani ni kama wale jamaa Wa UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME,,Mara VUMBI LA KONGO ,,,Mara MCHUZI WA PWEZA,,Mara MIHOGO MIBICHI,,Mara KARANGA MBICHI,,,mradi tu ukiambiwa ZINARUDISHA NGUVU basi LAZIMA uzifakamie kwa wingi,,ndy ndugu yetu huyo,,,pamoja na mazoezi hayo YA AJABU AJABU anayofanya HADHARANI,,Anahitaji USHAURI,,na USHAURI WANGU KWAKE NI mazoezi ya KUKIMBIA ndy yatamsaidia,, mazoezi ,,, ya kumlalia tumboni hayasaidii kitui MAZOEZI hayasaidii kama hataacha kula HOVYO,,,kula kiasi na kwa ratiba vinginevyo,,,UTAJIUMIZA BURE..