Mazoezi ya Lemutuz yawatoa 'machozi' madaktari,wasema ''anachokitafuta atakipata"

Kwa jinsi alivyo kibinua kizigo chake, maana tunakijua "kifo cha mende", sasa hicho vijana wa mjini watakiita nini!!! Pengine wataanza kukiita "kifo cha lemutuz" wakimuweka demu staili hio.

Ila bora nisitoe comment yoyote humu.

Admini hata niacha salama, atanipa BAN bure.[emoji120]
 
Daah nimecheka sana mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 
I second you
Mbaya zaidi maumbile ya mwanadamu si hiyari ya mwanadamu bali Muumbaji ndie humfanya awe hivyo, na mwanadamu hana namna anaweza jibadilisha.
 
Iyo spinal cord anaichezea hvyo wengine inatusotesha tunaiona Dunia chungu. Kweli kubwa jinga hapo kabugi
 
Aiseee nimecheka sanaaa hasa kwenye mtungi wa gas jamaniiii haahhahahahhaha nafwaaaaaaaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahahahahahahahahahaha daaaaah nmecheka saaaana alooo
 
Ha ha ha,mazoezi hatari hayo.Pingiri moja tu ya uti wa mgongo ikilegea mwili wote unapoteza mawasiliano
 
Nahisi Mzee Malecela akimuona Lemutuz a.k.a Lekokobanga a.k.a Nyenyenyenye huwa anajisemea kimoyomoyo "bora mbegu zangu ningezimwaga nje kuliko kuleta kiumbe cha namna hii Duniani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…