Mazoezi ya Mamelodi Sundowns yana nia ovu kwa Yanga

Hayo mbona ni mazoezi ya Bush Stars!?
Na ni mazoezi ya maninja labda wameshaona mziki wa Aucho kiungo cha chini na akili kubwa ya CB za Yanga wakaona kuna haja ya kua tunapiga mashuti katikati ya uwanja tu potelea pote hata kama yataenda njee sawa ndio maana ya kufumba/kuziba macho..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…