Tofauti na Mtazamo wa wengi, upana wa uke hauletwi na wingi wa Minyuku (sex) but rather kuzaa, Menopause na kuzeeka Maana uke umetengenezwa na Muscles, sifa ya muscles ni kwamba zipo Elastic na Flexible hivyo zinaweza kurudi katika original shape na size Yake.
Kutofanya ngono sana kunafanya uke uwe tight,..due to kuzaa na Fator zingne unakuta ndo ushakua Loose sasa inakua inaleta aibu sometimes ila ni kawaida kabsa labda ukiwa na Magojwa(vagina Prolapse) case ambayo sio ninayozungumzia mimi.
Unaweza ukatumia Creams maana zina Instant effect lakini hazipo huku kwetu na hata zikiwepo ni expensive, Pia kuna Herbs nyingi zinapatikana Asia mfano curcuma comosa na pueraria mirifica kwaio njia Iliobaki ni mazoezi also known as KEGEL EXERCISES
KEGEL EXERCISES
Ni mazoezi simple ambayo unaweza kufanya popote, muda wowote bila mtu kujua.
Jinsi ya kufanya
1. Tafuta misuli unayotumia kuzuia kubana mkojo ukiwa umebanwa na huna jinsi ya kujisaidia
2. Ibane kwa sekunde 3-5 alafu ipumzishe kwa muda huo huo BILA tumbo wala misuli ya mapaja kukaza
3. Ongeza muda kila siku kwa kila unapofanya mara tatu kwa siku, rudia hili zoezi mara 10-15 kila unapofanya
TAHADHARI: USIFANYE UKIWA NA MKONJO UNAEZA KUJERUHI KIBOFU CHA MKOJO!!!!!