Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada umejaribu kufanya hiyo na ikakupa matokealo chanya?Suluhisho ni pelvic floor exercises almaarufu kegel exercises.
Ndio, tena unaweza yafanya popote bila hata aliyekaa karibu na wewe kujua kuwa unayafanya. Yanasaidia kukuweka forever young.Dada umejaribu kufanya hiyo na ikakupa matokealo chanya?
Yaani mpaka unanitamanisha.Ndio, tena unaweza yafanya popote bila hata aliyekaa karibu na wewe kujua kuwa unayafanya. Yanasaidia kukuweka forever young.
I don't know...Dada inaonekana ya kwako ipo tight eeh?!
Umeona eeeh....Ndio, tena unaweza yafanya popote bila hata aliyekaa karibu na wewe kujua kuwa unayafanya. Yanasaidia kukuweka forever young.
Tena hawa wenye papuchi-mlepweto ndio wanaolalamikia eti vibamia. Sasa lipapuchi lilishaegea kila dushe litapwaya tu.Wakuu,
Kupotea kwa vagina tightness imekuwa ni tatizo kubwa ambalo huhatarisha mahusiano ndani ya ndoa. Ni vema tulidurusu jambo hili. Nawasilisha, karibuni weledi wa majambo ktk udadavuzi
https://www.vwhcare.com/
Does too much sex cause vaginal loosening? Vagifirm ~ Natural Herbal Vaginal Tightening Pills
inaonekana unaifanya sana hii kitu! hebu ongeza nyama nyama namna ya kuifanya nimpelekee wifi yako aisomeUmeona eeeh....
kumbe kirefu cha PC ni personal computerWanaJf kwa muda sasa nimekuwa nikiona post mbalimbali zinazoomba msaada hasa kwa wanawake kutoridhika wakiwa faragha na hivyo lawama kutumiwa wanaume kwa kutowaridhisha pia wanaume wengi huwa tunaathirika kisaikolojia mara baada ya kufanya mapenzi na kukuta uke wa (mkeo/mpenzi) ni mkubwa na unakupwaya.
Mfano kuna kijana mmoja aliniambia amemwacha mpenzi wake eti kwa sababu amekuta kisima, akimaanisha uke mkubwa mimi nikaamua kufanya reserch kutoka vitabu mbalimbali na kufahamu kuna musuli unaoitwa musuli wa PC huu ni msuli unaobana uke na kuufanya uwe(mnato). Kila mwanamke anapaswa kufanya mazoezi ya PC.
Msuli huu wa PC uwasaidia kwa kiasi kikubwa mke na mume kufurahia mapenzi pia ufanya uzazi wa mama na mtoto kuwa salama zaidi. Kama mwanamke ana musuli imara wa PC uke wake utaweza kuubana sawasawa uume wa mumewe. Jambo hili litawafanya waweze kujisikia raha zaidi wakati wa kufanya mapenzi.
Lakini kama msuli wa PC ni dhaifu, uke huwa mkubwa mno na hivyo wote kushindwa kupata msisimko wakati wa kufanya mapenzi. Wanawake wengi wana musuli wa PC iliyodhaifu kwa sababu hawajui namna ya kufanya mazoezi.
Namna rahisi ya kuutambua msuli wa PC ni pindi pale mwanamke anapozuia mkojo kwani msuli huo ukaza uke na kuzuia mkojo hivyo mwanamke anaweza kujifunza kwa urahisi namna ya kufanya mazoezi ya msuli huu kwa kufanya mazoezi ya kubana mkojo pindi anapokuwa anakojoa panua mapaja na kisha zuia mkojo kwa muda wa sekunde tatu na achia sekunde 3.
Baada ya hapo endelea kufanya hivyo kufunga na kufungua hadi kibofu chako kiishe mkojo kila unapobana mkojo unabana msuli wako wa PC. Kadri utakavyofanya mazoezi ya kuzuia mkojo kutoka, utajifunza namna ya kufanya mazoezi ya musuli wa PC. Baada ya kuutambua msuli wa PC sasa unaweza kuubana muda wowote.
Kila mwanamke anapaswa kufanya mazoezi ya aina hii si chini ya mara 40 kwa siku. Hii inamaana unabana kwa sekunde 3 na kuachia kwa sekunde 3 fanya hivyo mpaka ifike mara 40 au zaidi kam utaweza kwa siku.
Mazoezi ya musuli wa PC unaweza kuyafanya mahali popote pale kwasababu hakuna atakayejua unafanya mazoezi haya iwe ofisini, jikoni,wakati wa kufua,chooni au ukiwa kitandani kabla na baada ya kulala na kwingineko.
Mara utakapoanza kufanya mazoezi ya Musuli wa PC itachukuwa takribani wiki mbili tu kuanza kuona mabadiliko makubwa. Ongeza radha ya mapenzi kwa kufanya maxoezi haya bure tu na sio kununua madawa yenye chemical kwa gharama kubwa.
Pia mazoezi haya yanafaa hata kwa wanaume hasa wale wanaowahi kufika kilele mazoezi haya yanasaidia sana na ufanya misuri ya ume kuwa imara sana mfurahie mwenzio ndani ya ndoa yako sasa.