Mazoezi ya msuli wa PC au 'Kegel' ili kufanya uke kubana na kusaidia misuli ya uume

Kupiga indiketa inataka umakini sana...unaweza kuwa unabana na kuachia PC kumbe ni misuli mingine kabisa

Wakati wa kubanjuka ndo rahisi zaidi(kwa mtazamo wangu)
 
Namna rahisi ya kuutambua msuli wa PC ni pindi pale mwanamke anapozuia mkojo kwani msuli huo ukaza uke na kuzuia mkojo hivyo mwanamke anaweza kujifunza kwa urahisi namna ya kufanya mazoezi ya msuli huu kwa kufanya mazoezi ya kubana mkojo pindi anapokuwa anakojoa panua mapaja na kisha zuia mkojo kwa muda wa sekunde tatu na achia sekunde 3,-
 
Kuna mtu alinambia eti kufanya mazoezi ya pc ni kuzuri sana ..na ukitakata kujua kama msuli uko poa fanya zoezi hili ukiwa na mkojo..Lakini eti...nasema eti kuwa kwa kufanya mara kwa mara ukiwa umebanwa na mkojo inasababisha UTI..je wataalamu ni kweli??? Na akashauri kuwa ni vizuri kufanya wakati hauna mkojo.. kuepuka hili tatizo..wataalamu njooni mtusaidie
.tutunze hili eneo nyetiii

Mkuu mwana ally kufnya mazoezi ya pc kwa kubana mkojo si chanzo cha ugonjwa wa UTI ila nilishaur kutumia njia ya mkojo kutambua msuli huu wa Pc kwani ndio njia rahisi ya kutambua musuli huu then utakapokuwa umeshautambua unaweza kufanya zoezi kwa njia nyingine zozote kama upunaofu hiyo hila nikuhakikishie tu uwezi pata UTI kwa kufanya zoezi..
 
inaitwa kegel exercises...nzur sana kwa wanaume..nina mwaka ss nafanya ii ki2 na nafurahia ma2 nda
 
Huo msuli ndo upi?

Namna rahisi ya kuutambua msuli wa PC ni pindi pale mwanamke anapozuia mkojo kwani msuli huo ukaza uke na kuzuia mkojo hivyo mwanamke anaweza kujifunza kwa urahisi namna ya kufanya mazoezi ya msuli huu kwa kufanya mazoezi ya kubana mkojo pindi anapokuwa anakojoa panua mapaja na kisha zuia mkojo kwa muda wa sekunde tatu na achia sekunde 3,-...pia mwanaume kuujua msuli huu unatakiwa kubana mkojo na kuachia kama nilivyoelekeza hapo juu...
 
inaitwa kegel exercises...nzur sana kwa wanaume..nina mwaka ss nafanya ii ki2 na nafurahia ma2 nda

Mkuu Geezzle asante kwa kutupa uzoefu wako juu ya mazoezi haya...!
 
Mazoezi ya kergel uwa wanafanya sana kina Mandingo ndio maana anaweza akapiga mbupu hata lisaa bila kushusha wakorea.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mwana ally kufnya mazoezi ya pc kwa kubana mkojo si chanzo cha ugonjwa wa UTI ila nilishaur kutumia njia ya mkojo kutambua msuli huu wa Pc kwani ndio njia rahisi ya kutambua musuli huu then utakapokuwa umeshautambua unaweza kufanya zoezi kwa njia nyingine zozote kama upunaofu hiyo hila nikuhakikishie tu uwezi pata UTI kwa kufanya zoezi..

Nimekusoma Mwinjuma. thanx
 
PC kirefu chake ni nini?...
Navojua kuna mazoezi ya Kegel ndo mpango mzima kwenye kuweka vizuri misuli ya Pelvic area ,nishajaribu kidogo,maybe ma expert watueleze hapa kinagaubaga namna ya kuyafanya
 
kumbeeeee., me nlikua nafanya coz nlikua nackia rahaaaaaaaaa., ndo mana mshkaji akasema i seeee cjawah ona
 
hakika jf ni zaidi ya uijuavyo.Mm nina tatizo kubwa sana la kuwahi kufika kileleni,yaani simalizi hata dk1wakorea hao! naanza rasmi hili zoezihuenda likanisaidia maana nimechoka kutumia hela nyingi kununua madawa ambayo hayanisaidii
.Thanks jf
 
WanaJf kwa muda sasa nimekuwa nikiona post mbalimbali zinazoomba msaada hasa kwa wanawake kutoridhika wakiwa faragha na hivyo lawama kutumiwa wanaume kwa kutowaridhisha pia wanaume wengi huwa tunaathirika kisaikolojia mara baada ya kufanya mapenzi na kukuta uke wa (mkeo/mpenzi) ni mkubwa na unakupwaya.

Mfano kuna kijana mmoja aliniambia amemwacha mpenzi wake eti kwa sababu amekuta kisima, akimaanisha uke mkubwa mimi nikaamua kufanya reserch kutoka vitabu mbalimbali na kufahamu kuna musuli unaoitwa musuli wa PC huu ni msuli unaobana uke na kuufanya uwe (mnato). Kila mwanamke anapaswa kufanya mazoezi ya PC.

Msuli huu wa PC uwasaidia kwa kiasi kikubwa mke na mume kufurahia mapenzi pia ufanya uzazi wa mama na mtoto kuwa salama zaidi. Kama mwanamke ana musuli imara wa PC uke wake utaweza kuubana sawasawa uume wa mumewe. Jambo hili litawafanya waweze kujisikia raha zaidi wakati wa kufanya mapenzi.

Lakini kama msuli wa PC ni dhaifu, uke uwa mkubwa mno na hivyo wote kushindwa kupata msisimko wakati wa kufanya mapenzi. Wanawake wengi wana musuli wa PC iliyodhaifu kwa sababu hawajui namna ya kufanya mazoezi.

Namna rahisi ya kuutambua msuli wa PC ni pindi pale mwanamke anapozuia mkojo kwani msuli huo ukaza uke na kuzuia mkojo hivyo mwanamke anaweza kujifunza kwa urahisi namna ya kufanya mazoezi ya msuli huu kwa kufanya mazoezi ya kubana mkojo pindi anapokuwa anakojoa panua mapaja na kisha zuia mkojo kwa muda wa sekunde tatu na achia sekunde 3,-

Baada ya hapo endelea kufanya hivyo kufunga na kufungua hadi kibofu chako kiishe mkojo kila unapobana mkojo unabana msuli wako wa PC. Kadri utakavyofanya mazoezi ya kuzuia mkojo kutoka, utajifunza -namna ya kufanya mazoezi ya musuli wa PC. Baada ya kuutambua msuli wa PC sasa unaweza kuubana muda wowote.

Kila mwanamke anapaswa kufanya mazoezi ya aina hii si chini ya mara 40 kwa siku. Hii inamaana unabana kwa sekunde 3 na kuachia kwa sekunde 3 fanya hivyo mpaka ifike mara 40 au zaidi kam utaweza kwa siku.

Mazoezi ya musuli wa PC unaweza kuyafanya mahali popote pale kwasababu hakuna atakayejua unafanya mazoezi haya iwe ofisini, jikoni,wakati wa kufua,chooni au ukiwa kitandani kabla na baada ya kulala na kwingineko.

Mara utakapoanza kufanya mazoezi ya Musuli wa PC itachukuwa takribani wiki mbili tu kuanza kuona mabadiliko makubwa. Ongeza radha ya mapenzi kwa kufanya maxoezi haya bure tu na sio kununua madawa yenye chemical kwa gharama kubwa.

Pia mazoezi haya yanafaa hata kwa wanaume hasa wale wanaowahi kufika kilele mazoezi haya yanasaidia sana na ufanya misuri ya ume kuwa imara sana mfurahie mwenzio ndani ya ndoa yako sasa.
Huo msuli wa PC utaubanaje wakati ukiwa hauna mkojo watakati umesema unatakiwa ubanwe ukiwa unatoa mkojo?
 
hakika jf ni zaidi ya uijuavyo.Mm nina tatizo kubwa sana la kuwahi kufika kileleni,yaani simalizi hata dk1wakorea hao! naanza rasmi hili zoezihuenda likanisaidia maana nimechoka kutumia hela nyingi kununua madawa ambayo hayanisaidii
.Thanks jf
Mkuu Ukawa2 nakuhakikishia kuwa mara utakapoanza kufanya mazoezi haya utaona mabadiliko ktk maisha yako ya ndo wanaume wengi wanaofnya mazoezi haya ya PC wamefanikiwa kupata heshima nyumban kwani wanauwezo mkubwa sana wa kuweza kuzuia mbegu zisitoke mpaka utakapoziruhusu(wakti wa tendo la ndoa)...fanya zoezi hili kwa uaminifu km nilivyoelekeza naamini baada ya week mbili utatupa shuhuda nzuri hapa jf na kwengineko..!!
 
kumbeeeee., me nlikua nafanya coz nlikua nackia rahaaaaaaaaa., ndo mana mshkaji akasema i seeee cjawah ona

Axante mkuu Aloreiya naamini wadau wamesikia ushuhuda wako..!
 
WanaJf kwa muda sasa nimekuwa nikiona post mbalimbali zinazoomba msaada hasa kwa wanawake kutoridhika wakiwa faragha na hivyo lawama kutumiwa wanaume kwa kutowaridhisha pia wanaume wengi huwa tunaathirika kisaikolojia mara baada ya kufanya mapenzi na kukuta uke wa (mkeo/mpenzi) ni mkubwa na unakupwaya.

Mfano kuna kijana mmoja aliniambia amemwacha mpenzi wake eti kwa sababu amekuta kisima, akimaanisha uke mkubwa mimi nikaamua kufanya reserch kutoka vitabu mbalimbali na kufahamu kuna musuli unaoitwa musuli wa PC huu ni msuli unaobana uke na kuufanya uwe (mnato). Kila mwanamke anapaswa kufanya mazoezi ya PC.

Msuli huu wa PC uwasaidia kwa kiasi kikubwa mke na mume kufurahia mapenzi pia ufanya uzazi wa mama na mtoto kuwa salama zaidi. Kama mwanamke ana musuli imara wa PC uke wake utaweza kuubana sawasawa uume wa mumewe. Jambo hili litawafanya waweze kujisikia raha zaidi wakati wa kufanya mapenzi.

Lakini kama msuli wa PC ni dhaifu, uke uwa mkubwa mno na hivyo wote kushindwa kupata msisimko wakati wa kufanya mapenzi. Wanawake wengi wana musuli wa PC iliyodhaifu kwa sababu hawajui namna ya kufanya mazoezi.

Namna rahisi ya kuutambua msuli wa PC ni pindi pale mwanamke anapozuia mkojo kwani msuli huo ukaza uke na kuzuia mkojo hivyo mwanamke anaweza kujifunza kwa urahisi namna ya kufanya mazoezi ya msuli huu kwa kufanya mazoezi ya kubana mkojo pindi anapokuwa anakojoa panua mapaja na kisha zuia mkojo kwa muda wa sekunde tatu na achia sekunde 3,-

Baada ya hapo endelea kufanya hivyo kufunga na kufungua hadi kibofu chako kiishe mkojo kila unapobana mkojo unabana msuli wako wa PC. Kadri utakavyofanya mazoezi ya kuzuia mkojo kutoka, utajifunza -namna ya kufanya mazoezi ya musuli wa PC. Baada ya kuutambua msuli wa PC sasa unaweza kuubana muda wowote.

Kila mwanamke anapaswa kufanya mazoezi ya aina hii si chini ya mara 40 kwa siku. Hii inamaana unabana kwa sekunde 3 na kuachia kwa sekunde 3 fanya hivyo mpaka ifike mara 40 au zaidi kam utaweza kwa siku.

Mazoezi ya musuli wa PC unaweza kuyafanya mahali popote pale kwasababu hakuna atakayejua unafanya mazoezi haya iwe ofisini, jikoni,wakati wa kufua,chooni au ukiwa kitandani kabla na baada ya kulala na kwingineko.

Mara utakapoanza kufanya mazoezi ya Musuli wa PC itachukuwa takribani wiki mbili tu kuanza kuona mabadiliko makubwa. Ongeza radha ya mapenzi kwa kufanya maxoezi haya bure tu na sio kununua madawa yenye chemical kwa gharama kubwa.

Pia mazoezi haya yanafaa hata kwa wanaume hasa wale wanaowahi kufika kilele mazoezi haya yanasaidia sana na ufanya misuri ya ume kuwa imara sana mfurahie mwenzio ndani ya ndoa yako sasa.

Zoez hilo kwa hawa mamsap wetu wataweza kweli?
 
Maana usione wako cute, wanenguaji wa bendi wanakatika, inapofika ile kitu kuwa ndani wengi wanakuwa wazito huwez kuamini, wanakuwa magogo, wachache wanajitutumua mara baada ya muda aaah nmechokaaa ooh ooh! 6*6 kaka ni tofauti. Kwa hiyo kwa zoez hilo tu la kubana pc sidhani kama watafanya hawa mamsap wetu
 
Mwanaume anafanyaje? Mana nkipiga ---- moja wazungu nje
 
Back
Top Bottom