sawa love nimekuelewa.
pia yanasaidia kunako mchezo mzima especially for you men tehtehh
ooppsss!! thanks love nikiwa mbali nawe usiku mzima nakesha nausikiliza huu wimbo nakukumbukaga Mwenyewe
Huyo mahondaw mbona hakujibu? Una mtag kila mara. Umekuwa kama Zuzu hivi
Naomba uwe wangu ili niwe naku tag kila ninapo comment.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akhuuu, Siwez hayo mieNaomba uwe wangu ili niwe naku tag kila ninapo comment.
Umeacha udaktari kama Kigwangala ?Mimi si daktari mkuu
Wabongo mna hata kwa Fake idNasikia jamaa anajipendekeza sana kwa huyo demu halafu dem hana time nae
Wewe unafanya mazoezi wapi?Mara nyingi ni kawaida kukutana na wana jeshi wastaafu wakiwa 90+ na bado wanaendesha maisha yao ya kila siku bila msaada wa mtu.
Yale mazoezi wanayoyapata jeshini yanawasaidia sana kuimarisha mwili. Pamoja na kula vyakula bora.
Unapotoka kukimbia au kufanya maoezi ya kutoa jasho, hata kama nyumba yako iko kwenye harakati za kupigwa mnada ubapata wasaa wa kuyasahau kidogo na mwili pamoja na akili kupata mapumziko ya muda.
Kama hujawahi kukimbia kuishiwa na pumzi kusikukatishe tamaa. Kimbia kwa dakika tano, Tembea dakika kumi. Ukiwa na control nzuri ongeza muda wa kukimbia kidogo kidogo.
SafiNinatembea kwenda kibaruani one hour kwenda one hour kurudi na gym ninakwenda
ππππππHuyo mahondaw mbona hakujibu? Una mtag kila mara. Umekuwa kama Zuzu hivi
Id ya mtu mmoja tu hiyoNasikia jamaa anajipendekeza sana kwa huyo demu halafu dem hana time nae