Mazoezi ya viungo ni muhimu kwa afya ya mwili na akili.

Mazoezi ya viungo ni muhimu kwa afya ya mwili na akili.

Mara nyingi ni kawaida kukutana na wana jeshi wastaafu wakiwa 90+ na bado wanaendesha maisha yao ya kila siku bila msaada wa mtu.

Yale mazoezi wanayoyapata jeshini yanawasaidia sana kuimarisha mwili. Pamoja na kula vyakula bora.

Unapotoka kukimbia au kufanya maoezi ya kutoa jasho, hata kama nyumba yako iko kwenye harakati za kupigwa mnada ubapata wasaa wa kuyasahau kidogo na mwili pamoja na akili kupata mapumziko ya muda.

Kama hujawahi kukimbia kuishiwa na pumzi kusikukatishe tamaa. Kimbia kwa dakika tano, Tembea dakika kumi. Ukiwa na control nzuri ongeza muda wa kukimbia kidogo kidogo.
Wewe unafanya mazoezi wapi?
 
Sasa ile ndo mbaya mkuu, mjeshi akistaafu na akabweteka bila ya mazoezi ataumia, kwa sababu alishauzoesha mwili kufanya mazoez gafla akaacha Lazima aumwe
 
Huu uzi umenikumbusha wimbo ule wa dayamondi ameimba na mdada wa Kenya chorus wanamalizia 'binadamu bwana...'
 
Back
Top Bottom