Mazoezi yaliopitiliza ni kuchosha mwili bure (body deformation)

Mazoezi yaliopitiliza ni kuchosha mwili bure (body deformation)

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Huyu ni Rembo Stalione kwa wale watoto wa miaka ya 2000 mtanisamehe bure, haina haja ya kumtolea maelezo kwa vijana wa miaka 35 na kuendelea.

Kipindi anacheza filamu yake ya kwanza. alikua na miaka 39 sasa hivi ana 79 lakini angalia mazoezi yalio pitiliza yalivyo badili body morphology yake, vijana acheni kushinda gym.
Screenshot_20250302-081005_Lite.jpg
 
Huyu ni Rembo Stalione kwa wale watoto wa miaka ya 2000 mtanisamehe bure, haina haja ya kumtolea maelezo kwa vijana wa miaka 35 na kuendelea.

Kipindi anacheza filamu yake ya kwanza. alikua na miaka 39 sasa hivi ana 79 lakini angalia mazoezi yalio pitiliza yalivyo badili body morphology yake, vijana acheni kushinda gym.View attachment 3257194
Mbona kama umetufunga kamba filamu yake ya kwanza hajacheza akiwa na miaka 39.
 
Wengi wanajua eti maxoezi hupunguza mwili kumbe sio hunaleta fitness tu, dawa ya mwili ni chakula tu.
Sumu kubwa kwa maish ya sasa ni 1.mosos 2. Mawazo yetu (fikra zetu na mitazamo katk maisha ya kila siku )

Daw kubwa ni 1.chakula sahihi 2. Mazoez tena ya kawaida . Ukiwez hayo mawili hata mawazo hatokupa shida sana.
 
Nadhani chakula ndo tatizo kubwa sana hapa Tz food store zote zimejaa nafaka corns/seeds rich in cobohydrate au wanga, hotels zote zimejaa mafuta corns sukali, lazima ukiwa masikini kupata kitambi ni haraka sana kwasbabu huwezi kutafuta special meals.
 
Lakn maskin tunakula tushibe ubwabwa maharage ,

Tajir hali mara 3/4 kama maskn ,

Maskn anatak ale papai nzima maembe ma nne n.k sasa tajir yeye vpande viwili zoez maish yanaendlea.
 
Back
Top Bottom