Sylivester stallone au kwajina maarufu RAMBO,alizaliwa mwezi wa 7/6/1946 ni msanii wa Filamu Marekani na pia ni muandaaji wa Filamu nchini marekani na Duniani kwa ujumla,na ameweza kudumumu katika tasnia hiyo kwa zaidi ya miaka hamsini.
Kwenye miaka ya 1960 RAMBO alikuwa ameanza kujihusisha na maswala ya filamu huko marekani na na kama ilivyo kawaida mtu huwezi ukaamka tu ukasema leo nataka kuwa muigizaji na kesho ukawa muigizaji bora na Dunia ikakutambua kwahyo bwana mkubwa ilibidi kuhangaika sana na mwisho wa siku alihamia NEW YORK Marekani mwaka 1969 na huko ndika alikopata dili lake la kwanza kwenye filamu ya The Lords of Flatbush ya mwaka 1974 na hiyo filamu ilikuwa ni Comedy/Drama kupitia hii filamu alianza kupata mafanikio na kupata dili nyengine nyingi na mwaka 1976 akapata dili la kufanya filamu iliyo mtambulisha ulimwenguni kote ambayo ni ROCKY hii ni filamu ya mapigano ya ulingoni,
Nimechoka kuandika nina majukumu mengine baadae nitakuja kumalizia.