😁😃😃😃Vitambi vyetuFugeni mavitambi tu ya michemsho na viporo, kwa wafanya mazoezi tunajua faida zake.
Fuga tu mkuu😁😃😃😃Vitambi vyetu
Wengi wanajua eti maxoezi hupunguza mwili kumbe sio hunaleta fitness tu, dawa ya mwili ni chakula tu.Based na msosi sahihi na vascular exercises (kukimbia) na mazoez ya kawaid ya viungo basi ,
Ukiqngaika utengenez artificial body structure naona kam si nzuri san
Mbona kama umetufunga kamba filamu yake ya kwanza hajacheza akiwa na miaka 39.Huyu ni Rembo Stalione kwa wale watoto wa miaka ya 2000 mtanisamehe bure, haina haja ya kumtolea maelezo kwa vijana wa miaka 35 na kuendelea.
Kipindi anacheza filamu yake ya kwanza. alikua na miaka 39 sasa hivi ana 79 lakini angalia mazoezi yalio pitiliza yalivyo badili body morphology yake, vijana acheni kushinda gym.View attachment 3257194
Leta point of correction tafadhali mkuu.....Mbona kama umetufunga kamba filamu yake ya kwanza hajacheza akiwa na miaka 39.
Sumu kubwa kwa maish ya sasa ni 1.mosos 2. Mawazo yetu (fikra zetu na mitazamo katk maisha ya kila siku )Wengi wanajua eti maxoezi hupunguza mwili kumbe sio hunaleta fitness tu, dawa ya mwili ni chakula tu.
Nadhani chakula ndo tatizo kubwa sana hapa Tz food store zote zimejaa nafaka corns/seeds rich in cobohydrate au wanga, hotels zote zimejaa mafuta corns sukali, lazima ukiwa masikini kupata kitambi ni haraka sana kwasbabu huwezi kutafuta special meals.Sumu kubwa kwa maish ya sasa ni 1.mosos 2. Mawazo yetu (fikra zetu na mitazamo katk maisha ya kila siku )
Daw kubwa ni 1.chakula sahihi 2. Mazoez tena ya kawaida . Ukiwez hayo mawili hata mawazo hatokupa shida sana.
Dhibitisha kwamba ni mme wake sio baba yake?wazee tunazidi kuenjoy mema ya nchiii...ila swaumu yng inabana kwa kwelii
View attachment 3257237
Hicho kitambi kwa mzee wa miaka 79 unaona ni poa mkuu? Misuli yake ilishapanuka haiwezi kurudi normal.Sioni tatizo lililopo kwa huyo Mzee.
Wewe mtoa mada umeandika kwa hisia kuliko uhalisia.
Lakn maskin tunakula tushibe ubwabwa maharage ,Nadhani chakula ndo tatizo kubwa sana hapa Tz food store zote zimejaa nafaka corns/seeds rich in cobohydrate au wanga, hotels zote zimejaa mafuta corns sukali, lazima ukiwa masikini kupata kitambi ni haraka sana kwasbabu huwezi kutafuta special meals.