Mazoezi yaliopitiliza ni kuchosha mwili bure (body deformation)

Lakn maskin tunakula tushibe ubwabwa maharage ,

Tajir hali mara 3/4 kama maskn ,
Kwasababu kazi za masikini zinahitaji quick energy ili haweze kugombania dala dala, kutembea mda mrefu kufuata maji, kubeba mizigo akitoka sokoni nk
 
Ukiwa maskini kupata kitambi kwa nchi za wenzetu ni haraka sana , ila kibongo bongo mtu akipata pesa ndio anafukia kila vyakula ndio anapata kitambi .
 
Fanya mazoezi ya kawaida tuu , kula chakula sahihi kulingana na group lako la damu , mfano watu wa group AB waachane kabisa na kula minyama nyama , miili yao inareact chap sana na haina uwezo wa kusaga vzur aina hii ya chakula!!!
 
Leta point of correction tafadhali mkuu..
Sylivester stallone au kwajina maarufu RAMBO,alizaliwa mwezi wa 7/6/1946 ni msanii wa Filamu Marekani na pia ni muandaaji wa Filamu nchini marekani na Duniani kwa ujumla,na ameweza kudumumu katika tasnia hiyo kwa zaidi ya miaka hamsini.

Kwenye miaka ya 1960 RAMBO alikuwa ameanza kujihusisha na maswala ya filamu huko marekani na na kama ilivyo kawaida mtu huwezi ukaamka tu ukasema leo nataka kuwa muigizaji na kesho ukawa muigizaji bora na Dunia ikakutambua kwahyo bwana mkubwa ilibidi kuhangaika sana na mwisho wa siku alihamia NEW YORK Marekani mwaka 1969 na huko ndika alikopata dili lake la kwanza kwenye filamu ya The Lords of Flatbush ya mwaka 1974 na hiyo filamu ilikuwa ni Comedy/Drama kupitia hii filamu alianza kupata mafanikio na kupata dili nyengine nyingi na mwaka 1976 akapata dili la kufanya filamu iliyo mtambulisha ulimwenguni kote ambayo ni ROCKY hii ni filamu ya mapigano ya ulingoni,

Nimechoka kuandika nina majukumu mengine baadae nitakuja kumalizia.
 
Fanya mazoezi ya kawaida tuu , kula chakula sahihi kulingana na group lako la damu , mfano watu wa group AB waachane kabisa na kula minyama nyama , miili yao inareact chap sana na haina uwezo wa kusaga vzur aina hii ya chakula!!!
Unahisi kwa unavoijua jamii ya tz ni wangapi wanayajua magroup yao ya damu? Mazoea yaliyopo kupima group la damu labda mtu ameumwa ikalazimu kupima vyote hivyo kama wajawazito, waliopungukiwa damu, wanaotaka kuchangia damu, mtu hivi hivi anayewaza kesho anaianza vipi siku atapata wazo la kupima group la damu? Mtu anayewaza miguu ya kuku na utumbo na ugali, huku shamba tunawaza kuchemsha mihogo, viazi maboga, wanashindia hadi usiku wanakula ugali mkubwaa na maharage na maziwa au pia nyama ikiwemo afu hapati maradhi ya mara kwa mara wazo la kupima group la damu linatoka wapi
 
Mkuu kwa mfano mimi ni A+ ni mti mkavu haswa hata nile nini. Toka nianze kupima kilo nikiwa form 3 huwa zinacheza 62-64 Kg hadi leo, mazoezi nafanya ila si mara kwa mara natakiwa nile nini na niache nini, kwa sasa nina miaka 35.

Nahitaji msaada wa kujua menu yangu kwa kuzingatia uhusiano wa grupu la damu na msosi. Asante
Fanya mazoezi ya kawaida tuu , kula chakula sahihi kulingana na group lako la damu , mfano watu wa group AB waachane kabisa na kula minyama nyama , miili yao inareact chap sana na haina uwezo wa kusaga vzur aina hii ya chakula!!!
 
Shida ni Nini?
 
Acha watu tufanye mazoezi,we endelea kulamba lips na kufakamia mipombe
 
Acha watu tufanye mazoezi,we endelea kulamba lips na kufakamia mipombe
Mkuu mbona nafanya maxoezi mimi ni mwana riadhaa, kazi zangu ni lazima niganye mazlezi ila sio kwa kupinguza mwili ni kwa body fitness kupunguza mwili nafanya kwa diet kwa wakati fulani, mimi sinywi pombe kabisa sio mlevi.
 
Copy and Paste 😁
 
Hongera,kwa kutokunywafarujohn!
 
Copy and Paste 😁
Maisha tunayoishi pia ni copy and paste,kwahyo mlifikiria kuwa nitakuja na majibu tofauti na hayo wakati mimi nipo bongo na huyo mzee yupo America na sina undugu wala ujamaa naye unahisi taarifa zake nitazitoa wapi kama siyo mtandaoni amkeni acheni kulaza medula.
 
Basi ukifanya toa credit kwa ulipo copy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…