Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nye ni vichaa,mnafurahiaje droVibonzo walivyoandaa Mbumbumbu vimewadodea
Ukikaa na mashabiki uchwara huku kwenye vibanda umiza utasikia dakika za nyongeza hazina nyongeza. Sijui nani anawakaririsha huu upuuzi. Mngewashauri Namungo wasijiangushe hovyohovyo mngekuwa mmefanya lamaana.Dk zimeongezwa zimeisha refa akawa anasubiri goli lipatikane amalize mpira,
Utopolo ni utopolo tu
Hivi hili jina huko madimbwini bado wanalitumia kweli?Wakimataifa..
NdioHivi hili jina huko madimbwini bado wanalitumia kweli?
Kinachonishangaza sisikii waandishi wa habari wakilielezea hili sualaUkikaa na mashabiki uchwara huku kwenye vibanda umiza utasikia dakika za nyongeza hazina nyongeza. Sijui nani anawakaririsha huu upuuzi. Mngewashauri Namungo wasijiangushe hovyohovyo mngekuwa mmefanya lamaana.