Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kuhani mkuu anapofanya matembezi ya kimkakati kwa ajili ya kumtangazia mzambi ambaye pengine aliomba kitubio (au hajaomba) wanakaya wanabaki na mshangao wa mshangazi
Mshangao wa kutojua mzambi alitenda maovu gani
Mshangao wa kutojua mzambi alimkosea nani
Je ni mazambi binafsi au ni mazambi jumuishi?
Je ni mazambi yenye hatia ya jamii?
Je ni mazambi yenye hasara binafusi au !? Ah! Au..!!!
Je utaratibu ni upi wa kumchukulia hatua mwovu? Ni kununiwa!? Kisha akikaza anatangaziwa msamaha wa zambi na maisha yanasonga
Hivi msamaha unafuta maovu kama yale ya wagalatia?
Hongera February umeuipiga mwingi
Kwako kuhani.. Kumbuka msemo wa wahenga wa kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.. Kina kutumiwa na kutumika.. Kwa faida ya nani? Hilo ndio kubwa na la muhimu sana