MZK
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 240
- 309
Rais wa Urusi Azungumza na rais Erdoğan kufuatia shambulizi dhidi ya jeshi la Uturuki na kusababisha maafa.
Urusi na Uturuki zavunja ukimya baada ya shambulizi lililowalenga wanajeshi wa Uturuki Idlib na kupelekea vifo vya askari 33 wa Uturuki.
Waziri wa Urusi wa mambo ya je Sergey Lavrov amesema kuwa mazungumzo kati ya marais hao wawili yamehusu mbinu za kuhakikisha kuheshimu makubaliano yaliosainiwa kuhusu Idlib nchini Syria.
Ikulu ya rais mjini Moscow imefahamisha kuwa hatua za ziada zitachukuliwa kwa pamoja ili kuhakikisha hali inarejea Idlib kama ilivyokuwa hapo awali.