Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Kwenye bomba la mvua au jacuzzi?Dah na kule ndiko napangaga mipango yote maana hakunaga bugdha full utulivu ,yaan unaenjoy umelilux mpaka raha ..
kwahiyo ukipanga chochote lazima kiitike
Inategemea na tukio ukiwa unaharisha mazungumzo huwa mafup zaidii;Mbona Hayo marefu?
mafupi ni pale unapopigiwa hodi chooni.
Huwa hivi:
Hodi?
Karibu!
Kimyaaa, mpiga hodi kasepa!
Weweee hujakuta choo kinachonuka...hakyanani nakwambia utatamani 'u-shortcut' haja yako usepe.Dah na kule ndiko napangaga mipango yote maana hakunaga bugdha full utulivu ,yaan unaenjoy umelilux mpaka raha ..
kwahiyo ukipanga chochote lazima kiitike
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona Hayo marefu?
mafupi ni pale unapopigiwa hodi chooni.
Huwa hivi:
Hodi?
Karibu!
Kimyaaa, mpiga hodi kasepa!
hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna mojahahahaha
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]mazungumzo mafupi kuliko yote duniani ni pale unapokuwa chooni halafu anakuja mtu ghafla Na kufungua mlango
Mazungumzo Huwa hivi...
Wewe[emoji19]: EEEEEH
Aliefungua mlango[emoji15]: AAAAAH
MWISHO WA MAZUNGUMZO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]