Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine yameanza mjini Istanbul huku Russia ikigugumia maumivu baada ya viwanda vyake vya ndege kushambuliwa na drones za Ukraine, inasemekana katika mashambulizi hayo Ukraine iliweza kuziangamiza Ndege-Vita za kutosha kutoka katika viwanja vya ndege hivyo.
Ukraine imekuwa mwiba kwa majeshi ya Russia toka walipovamia nchi hiyo Feb 24,2022 Russia wamepoteza vifaa-vita na askari wake.
Ukraine imekuwa mwiba kwa majeshi ya Russia toka walipovamia nchi hiyo Feb 24,2022 Russia wamepoteza vifaa-vita na askari wake.