Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Bado mnahangaika nae?Erick Kabendera amefanya mahojiano ambayo yako youtube kuelezea kitabu chake alichokiandika (in the name of president (maagizo kutoka juu - kama walivyotafsiri wenyewe kwenye mazungumzo yao)).
Ukiyasikiliza vizuri hasa hasa visa alivyoelezea kuhusu utekaji watu na kuwapoteza ulivyo/unavyofanyika na mazungumzo yake mwisho mwisho akimueleza Rais hayati Magufuri na maoni yake binafsi kuhusu utawala wake, utapata somo kubwa sana kuwa kumbe bado kuna miongo mingi sana ya mambo kubadilika
Kwa ufupi sana nimejufunza kuwa bila nguvu ya umma ni vigumu sana watawala kufanya mabadiliko ya mifumo inayowalinda hata kama wao wenyewe hawapendi namna mifumo hiyo inavyofanya kazi. Ni rahisi sana mabadiliko kufanya endapo watapata presha ya wananchi na wananchi hawawezi kutoa presha kama watabaki bila elimu ya haki zao na ujasiri wa kudai haki
Nimesikitika kusikia kisa cha jenerali mstaafu wa jeshi ambaye alipotaka kuongea naye ili kumsimulia kisa fulani ilibidi aingie chumbani, ajifungie na kama haitoshi aingie chini ya uvungu kwa hofu kwamba Magufuri anaweza kusikia mazungumzo yao! Hii ni ajabu na kweli
Binafsi naona yuko sahihi anaposema kwamba mfumo aliouacha Magufuri utaendelea kuwepo kwa miaka mingi kwasababu watu waliokuwa wakifanya mambo mabaya utawala ulioingia haukutengeneza mfumo wa kisheria wa kuwawajibisha kwa waliyoyafanya. Huu ni ukweli kabisa hasa ukiangalia mambo yanavyoenda kwa sasa
Sina hakika kama kitabu chake kitaruhusiwa kuuzwa Tanzania lakini siku hizi technolojia imekua sana zipo njia nyingi za kuweza kukisoma.
Hata hivyo, mazungumzo yake tu hayo ya takribani saa moja yana elimu kubwa ndani yake na yanaweza kukwambia Erick Kabendera ni nani na anajua nini hasa kwa watu kama mimi tuliomjua tu kipindi kile anapitia sekeseke la kesi aliyopewa
Jambo lililonisikitisha zaidi ni kusikia kuwa kumba hata Mama mzazi wa hayati aliwashangaa waliompitisha mwanae kuwa mgombea kwamba "hawamjui huyu atawanyoosha" na kibaya zaidi ni story yake ya seminari iliyomfanya asimamishwe masomo.
Hapa nimejifunza kuwa kumbe siku hizi inawezekana ama watu wa "veting" hawafanyi kazi yao vizuri au kuna kundi lenye nguvu linabishana kutupilia mbali maoni ya watu wa "veting" vinginevyo kama aliyoyasema yana ukweli basi wangeweza kumalizana nae mapema kabisa kabla hata ya kuchukua form
Kuna watu walimpenda sana na kupenda aina ya utawala wake, lakini isiwe kigezo cha kutokuwa tayari kujua upande wake wa pili ili kuepuka madhara mengine huko mbele. Hata Adolf Hitler alikuwa na wafuasi na waliompenda sana lakini haimaanishi yote aliyoyafanya yalikuwa mazuri
Na vyuo vikuu, yn iwe mtaala wa kuanzia chekechea mpaka vyuoni ili mfurahi zaidi.Kitabu pia kisomwe mashuleni.
Umenena! πππErick Kabendera amefanya mahojiano ambayo yako youtube kuelezea kitabu chake alichokiandika (in the name of president (maagizo kutoka juu - kama walivyotafsiri wenyewe kwenye mazungumzo yao)).
Ukiyasikiliza vizuri hasa hasa visa alivyoelezea kuhusu utekaji watu na kuwapoteza ulivyo/unavyofanyika na mazungumzo yake mwisho mwisho akimueleza Rais hayati Magufuri na maoni yake binafsi kuhusu utawala wake, utapata somo kubwa sana kuwa kumbe bado kuna miongo mingi sana ya mambo kubadilika
Kwa ufupi sana nimejufunza kuwa bila nguvu ya umma ni vigumu sana watawala kufanya mabadiliko ya mifumo inayowalinda hata kama wao wenyewe hawapendi namna mifumo hiyo inavyofanya kazi. Ni rahisi sana mabadiliko kufanyika endapo watapata presha ya wananchi na wananchi hawawezi kutoa presha kama watabaki bila elimu ya haki zao na ujasiri wa kudai haki
Nimesikitika kusikia kisa cha jenerali mstaafu wa jeshi ambaye alipotaka kuongea naye ili kumsimulia kisa fulani ilibidi aingie chumbani, ajifungie na kama haitoshi aingie chini ya uvungu kwa hofu kwamba Magufuri anaweza kusikia mazungumzo yao! Hii ni ajabu na kweli
Kuna namna anasema kwamba mfumo wa kuteka na kuua wakosoaji alioutengeneza Magufuri utaendelea kuwepo na kuwaumiza watu kwa miaka mingi kama watawala wanaoingia madarakani hawataunda mifumo maalumu ya kisheria kushughulika na watu waliokuwa wakifanya mambo hayo mabaya kwani ni rahisi sana kuirithisha kwa watu wengine na wengine na wengine tena na hatimaye isipodhibitiwa huenda ikasababisha madhara makubwa kwa Taifa zima. Hapa anatolea mfano wa namna watu wa Hitler walivyodhibitiwa baada ya vita ya pili ya dunia na hatimaye kupelekea kuundwa kwa mahakama ya ICC
Sina hakika kama kitabu chake kitaruhusiwa kuuzwa Tanzania lakini siku hizi technolojia imekua sana zipo njia nyingi za kuweza kukisoma.
Hata hivyo, mazungumzo yake tu hayo ya takribani saa moja yana elimu kubwa ndani yake na yanaweza kukwambia Erick Kabendera ni nani na anajua nini hasa kwa viongozi wa nchi yetu
Jambo lililonisikitisha zaidi ni kusikia kuwa kumbe hata Mama mzazi wa hayati aliwashangaa waliompitisha mwanae kuwa mgombea kwamba "hawamjui huyu atawanyoosha" na masikitiko zaidi ni kuhusu stori ya hayati akiwa seminari iliyomfanya asimamishwe masomo.
Hapa nimejifunza kuwa kumbe siku hizi inawezekana ama watu wa "veting" hawafanyi kazi yao vizuri au kuna kundi lenye nguvu linabishana na kutupilia mbali maoni ya watu wa "veting" vinginevyo kama aliyoyasema yana ukweli basi wangeweza kumalizana nae mapema kabisa kabla hata ya kuchukua form
Kuna watu walimpenda sana na kupenda aina ya utawala wake, lakini isiwe kigezo cha kutokuwa tayari kujua upande wake wa pili ili kuepuka madhara mengine huko mbele. Hata Adolf Hitler alikuwa na wafuasi na waliompenda sana lakini haimaanishi yote aliyoyafanya yalikuwa mazuri
Ukisikia majirani wanaangua vilio sababu ya msiba wa mpendwa wao, maumivu yao hauwezi kuyaelewa mpaka hapo na wewe utakapoondokewa na mpendwa wako kama wao. Hivi ndivyo binadamu tulivyo! Ukienda hospitali na kukuta wanaume wazima wanalia machozi kwa maumivu ya magonjwa yanayowasumbua, huwezi kuelewa!! Hivi ndivyo ninavyoweza kutafsiri comment yakoBado mnahangaika nae?
Kwani matukio yameanzia kwa Magu?
Umekuja dar juzi wewe dogo
Na kununua smartphone 2023
ππKitabu pia kisomwe mashuleni.
Ukisikia majirani wanaangua vilio sababu ya msiba wa mpendwa wao, maumivu yao hauwezi kuyaelewa mpaka hapo na wewe utakapoondokewa na mpendwa wako kama wao. Hivi ndivyo binadamu tulivyo! Ukienda hospitali na kukuta wanaume wazima wanalia machozi kwa maumivu ya magonjwa yanayowasumbua, huwezi kuelewa!! Hivi ndivyo ninavyoweza kutafsiri comment yako
Ushauri wangu kwako; tafuta hela nawe uwe na jina kuliko Mwijaku. Kama unaona umeishachelewa, basi lea watoto wako vizuri. Hakikisha wanapata elimu ili wawe na msingi mzuri wa maisha yao ya baadae.Erick Kabendera amefanya mahojiano ambayo yako youtube kuelezea kitabu chake alichokiandika (in the name of president (maagizo kutoka juu - kama walivyotafsiri wenyewe kwenye mazungumzo yao)).
Ukiyasikiliza vizuri hasa hasa visa alivyoelezea kuhusu utekaji watu na kuwapoteza ulivyo/unavyofanyika na mazungumzo yake mwisho mwisho akimueleza Rais hayati Magufuri na maoni yake binafsi kuhusu utawala wake, utapata somo kubwa sana kuwa kumbe bado kuna miongo mingi sana ya mambo kubadilika
Kwa ufupi sana nimejufunza kuwa bila nguvu ya umma ni vigumu sana watawala kufanya mabadiliko ya mifumo inayowalinda hata kama wao wenyewe hawapendi namna mifumo hiyo inavyofanya kazi. Ni rahisi sana mabadiliko kufanyika endapo watapata presha ya wananchi na wananchi hawawezi kutoa presha kama watabaki bila elimu ya haki zao na ujasiri wa kudai haki
Nimesikitika kusikia kisa cha jenerali mstaafu wa jeshi ambaye alipotaka kuongea naye ili kumsimulia kisa fulani ilibidi aingie chumbani, ajifungie na kama haitoshi aingie chini ya uvungu kwa hofu kwamba Magufuri anaweza kusikia mazungumzo yao! Hii ni ajabu na kweli
Kuna namna anasema kwamba mfumo wa kuteka na kuua wakosoaji alioutengeneza Magufuri utaendelea kuwepo na kuwaumiza watu kwa miaka mingi kama watawala wanaoingia madarakani hawataunda mifumo maalumu ya kisheria kushughulika na watu waliokuwa wakifanya mambo hayo mabaya kwani ni rahisi sana kuirithisha kwa watu wengine na wengine na wengine tena na hatimaye isipodhibitiwa huenda ikasababisha madhara makubwa kwa Taifa zima. Hapa anatolea mfano wa namna watu wa Hitler walivyodhibitiwa baada ya vita ya pili ya dunia na hatimaye kupelekea kuundwa kwa mahakama ya ICC
Sina hakika kama kitabu chake kitaruhusiwa kuuzwa Tanzania lakini siku hizi technolojia imekua sana zipo njia nyingi za kuweza kukisoma.
Hata hivyo, mazungumzo yake tu hayo ya takribani saa moja yana elimu kubwa ndani yake na yanaweza kukwambia Erick Kabendera ni nani na anajua nini hasa kwa viongozi wa nchi yetu
Jambo lililonisikitisha zaidi ni kusikia kuwa kumbe hata Mama mzazi wa hayati aliwashangaa waliompitisha mwanae kuwa mgombea kwamba "hawamjui huyu atawanyoosha" na masikitiko zaidi ni kuhusu stori ya hayati akiwa seminari iliyomfanya asimamishwe masomo.
Hapa nimejifunza kuwa kumbe siku hizi inawezekana ama watu wa "veting" hawafanyi kazi yao vizuri au kuna kundi lenye nguvu linabishana na kutupilia mbali maoni ya watu wa "veting" vinginevyo kama aliyoyasema yana ukweli basi wangeweza kumalizana nae mapema kabisa kabla hata ya kuchukua form
Kuna watu walimpenda sana na kupenda aina ya utawala wake, lakini isiwe kigezo cha kutokuwa tayari kujua upande wake wa pili ili kuepuka madhara mengine huko mbele. Hata Adolf Hitler alikuwa na wafuasi na waliompenda sana lakini haimaanishi yote aliyoyafanya yalikuwa mazuri
Lakini Samia haamini hilo unaloaminiJPM ni shujaa wa Tanzania, Afrika. Kama Traore Ilibidi awathibiti nyie wahuni wachache. Utawala wenu, wa Samia wa kuuza nchi ndio unatuuambia ni sahihi. Unakosea sana.
πβοΈπ―ππππ€πErick Kabendera amefanya mahojiano ambayo yako youtube kuelezea kitabu chake alichokiandika (in the name of president (maagizo kutoka juu - kama walivyotafsiri wenyewe kwenye mazungumzo yao)).
Ukiyasikiliza vizuri hasa hasa visa alivyoelezea kuhusu utekaji watu na kuwapoteza ulivyo/unavyofanyika na mazungumzo yake mwisho mwisho akimueleza Rais hayati Magufuri na maoni yake binafsi kuhusu utawala wake, utapata somo kubwa sana kuwa kumbe bado kuna miongo mingi sana ya mambo kubadilika
Kwa ufupi sana nimejufunza kuwa bila nguvu ya umma ni vigumu sana watawala kufanya mabadiliko ya mifumo inayowalinda hata kama wao wenyewe hawapendi namna mifumo hiyo inavyofanya kazi. Ni rahisi sana mabadiliko kufanyika endapo watapata presha ya wananchi na wananchi hawawezi kutoa presha kama watabaki bila elimu ya haki zao na ujasiri wa kudai haki
Nimesikitika kusikia kisa cha jenerali mstaafu wa jeshi ambaye alipotaka kuongea naye ili kumsimulia kisa fulani ilibidi aingie chumbani, ajifungie na kama haitoshi aingie chini ya uvungu kwa hofu kwamba Magufuri anaweza kusikia mazungumzo yao! Hii ni ajabu na kweli
Kuna namna anasema kwamba mfumo wa kuteka na kuua wakosoaji alioutengeneza Magufuri utaendelea kuwepo na kuwaumiza watu kwa miaka mingi kama watawala wanaoingia madarakani hawataunda mifumo maalumu ya kisheria kushughulika na watu waliokuwa wakifanya mambo hayo mabaya kwani ni rahisi sana kuirithisha kwa watu wengine na wengine na wengine tena na hatimaye isipodhibitiwa huenda ikasababisha madhara makubwa kwa Taifa zima. Hapa anatolea mfano wa namna watu wa Hitler walivyodhibitiwa baada ya vita ya pili ya dunia na hatimaye kupelekea kuundwa kwa mahakama ya ICC
Sina hakika kama kitabu chake kitaruhusiwa kuuzwa Tanzania lakini siku hizi technolojia imekua sana zipo njia nyingi za kuweza kukisoma.
Hata hivyo, mazungumzo yake tu hayo ya takribani saa moja yana elimu kubwa ndani yake na yanaweza kukwambia Erick Kabendera ni nani na anajua nini hasa kwa viongozi wa nchi yetu
Jambo lililonisikitisha zaidi ni kusikia kuwa kumbe hata Mama mzazi wa hayati aliwashangaa waliompitisha mwanae kuwa mgombea kwamba "hawamjui huyu atawanyoosha" na masikitiko zaidi ni kuhusu stori ya hayati akiwa seminari iliyomfanya asimamishwe masomo.
Hapa nimejifunza kuwa kumbe siku hizi inawezekana ama watu wa "veting" hawafanyi kazi yao vizuri au kuna kundi lenye nguvu linabishana na kutupilia mbali maoni ya watu wa "veting" vinginevyo kama aliyoyasema yana ukweli basi wangeweza kumalizana nae mapema kabisa kabla hata ya kuchukua form
Kuna watu walimpenda sana na kupenda aina ya utawala wake, lakini isiwe kigezo cha kutokuwa tayari kujua upande wake wa pili ili kuepuka madhara mengine huko mbele. Hata Adolf Hitler alikuwa na wafuasi na waliompenda sana lakini haimaanishi yote aliyoyafanya yalikuwa mazuri
Tatizo ni pale unapodhani Magufuri anaongelewa yeye kama mtu tu! Huyu hakuwa mtu tu kama mimi na wewe. Yeye anaongelewa kama Rais na kiongozi wa juu kabisa wa nchi.Ushauri wangu kwako; tafuta hela nawe uwe na jina kuliko Mwijaku. Kama unaona umeishachelewa, basi lea watoto wako vizuri. Hakikisha wanapata elimu ili wawe na msingi mzuri wa maisha yao ya baadae.
Mwamba Magufuli alikuwepo. Aliishi kwa namna yoyote utakayoweza kutafsiri. Sasa hivi hayupo. Katangulia na sisi kila mtu kwa wakati wake atamfuata!
Nani kajiita mwanaharakati sasa hapo. Ukisoma hilo andiko vizuri kuna mahali mtu kajiita mwanaharakati?Mnajiita Wanaharakati alafu wepesi kama pamba
Asa umeandika nini?Tatizo ni pale unapodhani Magufuri anaongelewa yeye kama mtu tu! Huyu hakuwa mtu tu kama mimi na wewe. Yeye anaongelewa kama Rais na kiongozi wa juu kabisa wa nchi.
Kiongozi wa nchi hawezi kusahaulika kirahisi rejea za nchi zinapofanywa kama mimi na wewe. Historia inakawaida ya kuwatunza viongozi na mambo yao waliyoyafanya kwa ajili ya watu wengine kuwasoma na kujifunza tofauti na mimi na wewe
Wanunulieni bando mnaotaka wayafatilie haya mazungumzo ila ukitaka hivi vyombo vya habari viwafanyie hio kazi mtakua mnapoteza muda tuErick Kabendera amefanya mahojiano ambayo yako youtube kuelezea kitabu chake alichokiandika (in the name of president (maagizo kutoka juu - kama walivyotafsiri wenyewe kwenye mazungumzo yao)).
Ukiyasikiliza vizuri hasa hasa visa alivyoelezea kuhusu utekaji watu na kuwapoteza ulivyo/unavyofanyika na mazungumzo yake mwisho mwisho akimueleza Rais hayati Magufuri na maoni yake binafsi kuhusu utawala wake, utapata somo kubwa sana kuwa kumbe bado kuna miongo mingi sana ya mambo kubadilika
Kwa ufupi sana nimejufunza kuwa bila nguvu ya umma ni vigumu sana watawala kufanya mabadiliko ya mifumo inayowalinda hata kama wao wenyewe hawapendi namna mifumo hiyo inavyofanya kazi. Ni rahisi sana mabadiliko kufanyika endapo watapata presha ya wananchi na wananchi hawawezi kutoa presha kama watabaki bila elimu ya haki zao na ujasiri wa kudai haki
Nimesikitika kusikia kisa cha jenerali mstaafu wa jeshi ambaye alipotaka kuongea naye ili kumsimulia kisa fulani ilibidi aingie chumbani, ajifungie na kama haitoshi aingie chini ya uvungu kwa hofu kwamba Magufuri anaweza kusikia mazungumzo yao! Hii ni ajabu na kweli
Kuna namna anasema kwamba mfumo wa kuteka na kuua wakosoaji alioutengeneza Magufuri utaendelea kuwepo na kuwaumiza watu kwa miaka mingi kama watawala wanaoingia madarakani hawataunda mifumo maalumu ya kisheria kushughulika na watu waliokuwa wakifanya mambo hayo mabaya kwani ni rahisi sana kuirithisha kwa watu wengine na wengine na wengine tena na hatimaye isipodhibitiwa huenda ikasababisha madhara makubwa kwa Taifa zima. Hapa anatolea mfano wa namna watu wa Hitler walivyodhibitiwa baada ya vita ya pili ya dunia na hatimaye kupelekea kuundwa kwa mahakama ya ICC
Sina hakika kama kitabu chake kitaruhusiwa kuuzwa Tanzania lakini siku hizi technolojia imekua sana zipo njia nyingi za kuweza kukisoma.
Hata hivyo, mazungumzo yake tu hayo ya takribani saa moja yana elimu kubwa ndani yake na yanaweza kukwambia Erick Kabendera ni nani na anajua nini hasa kwa viongozi wa nchi yetu
Jambo lililonisikitisha zaidi ni kusikia kuwa kumbe hata Mama mzazi wa hayati aliwashangaa waliompitisha mwanae kuwa mgombea kwamba "hawamjui huyu atawanyoosha" na masikitiko zaidi ni kuhusu stori ya hayati akiwa seminari iliyomfanya asimamishwe masomo.
Hapa nimejifunza kuwa kumbe siku hizi inawezekana ama watu wa "veting" hawafanyi kazi yao vizuri au kuna kundi lenye nguvu linabishana na kutupilia mbali maoni ya watu wa "veting" vinginevyo kama aliyoyasema yana ukweli basi wangeweza kumalizana nae mapema kabisa kabla hata ya kuchukua form
Kuna watu walimpenda sana na kupenda aina ya utawala wake, lakini isiwe kigezo cha kutokuwa tayari kujua upande wake wa pili ili kuepuka madhara mengine huko mbele. Hata Adolf Hitler alikuwa na wafuasi na waliompenda sana lakini haimaanishi yote aliyoyafanya yalikuwa mazuri
Nimepigilia misumari kabisa ππππNa vyuo vikuu, yn iwe mtaala wa kuanzia chekechea mpaka vyuoni ili mfurahi zaidi.