Mkuu tuwafanyeje maana tutakufa kabla ya kufaidi matunda ya nchi yetu.Hizo ni tabia za CCM wote, madaraka kwanza mbele ya jambo lolote like.

Erick Kabendera amefanya mahojiano ambayo yako youtube kuelezea kitabu chake alichokiandika (in the name of president (maagizo kutoka juu - kama walivyotafsiri wenyewe kwenye mazungumzo yao)).
Ukiyasikiliza vizuri hasa hasa visa alivyoelezea kuhusu utekaji watu na kuwapoteza ulivyo/unavyofanyika na mazungumzo yake mwisho mwisho akimueleza Rais hayati Magufuri na maoni yake binafsi kuhusu utawala wake, utapata somo kubwa sana kuwa kumbe bado kuna miongo mingi sana ya mambo kubadilika
Kwa ufupi sana nimejufunza kuwa bila nguvu ya umma ni vigumu sana watawala kufanya mabadiliko ya mifumo inayowalinda hata kama wao wenyewe hawapendi namna mifumo hiyo inavyofanya kazi. Ni rahisi sana mabadiliko kufanyika endapo watapata presha ya wananchi na wananchi hawawezi kutoa presha kama watabaki bila elimu ya haki zao na ujasiri wa kudai haki
Nimesikitika kusikia kisa cha jenerali mstaafu wa jeshi ambaye alipotaka kuongea naye ili kumsimulia kisa fulani ilibidi aingie chumbani, ajifungie na kama haitoshi aingie chini ya uvungu kwa hofu kwamba Magufuri anaweza kusikia mazungumzo yao! Hii ni ajabu na kweli
Kuna namna anasema kwamba mfumo wa kuteka na kuua wakosoaji alioutengeneza Magufuri utaendelea kuwepo na kuwaumiza watu kwa miaka mingi kama watawala wanaoingia madarakani hawataunda mifumo maalumu ya kisheria kushughulika na watu waliokuwa wakifanya mambo hayo mabaya kwani ni rahisi sana kuirithisha kwa watu wengine na wengine na wengine tena na hatimaye isipodhibitiwa huenda ikasababisha madhara makubwa kwa Taifa zima. Hapa anatolea mfano wa namna watu wa Hitler walivyodhibitiwa baada ya vita ya pili ya dunia na hatimaye kupelekea kuundwa kwa mahakama ya ICC
Sina hakika kama kitabu chake kitaruhusiwa kuuzwa Tanzania lakini siku hizi technolojia imekua sana zipo njia nyingi za kuweza kukisoma.
Hata hivyo, mazungumzo yake tu hayo ya takribani saa moja yana elimu kubwa ndani yake na yanaweza kukwambia Erick Kabendera ni nani na anajua nini hasa kwa viongozi wa nchi yetu
Jambo lililonisikitisha zaidi ni kusikia kuwa kumbe hata Mama mzazi wa hayati aliwashangaa waliompitisha mwanae kuwa mgombea kwamba "hawamjui huyu atawanyoosha" na masikitiko zaidi ni kuhusu stori ya hayati akiwa seminari iliyomfanya asimamishwe masomo.
Hapa nimejifunza kuwa kumbe siku hizi inawezekana ama watu wa "veting" hawafanyi kazi yao vizuri au kuna kundi lenye nguvu linabishana na kutupilia mbali maoni ya watu wa "veting" vinginevyo kama aliyoyasema yana ukweli basi wangeweza kumalizana nae mapema kabisa kabla hata ya kuchukua form
Kuna watu walimpenda sana na kupenda aina ya utawala wake, lakini isiwe kigezo cha kutokuwa tayari kujua upande wake wa pili ili kuepuka madharhua mengine huko mbele. Hata Adolf Hitler alikuwa na wafuasi na waliompenda sana lakini haimaanishi yote aliyoyafanya yalikuwa mazuri
Kwani Mkuu Hittler alifanya jambo gani jipya ambalo Marekani hajalifanya? Madhara yaliyoletwa na "Little Boy & Fat Boy" kule Japan uliwahi kusikia Rais wa Marekani wa wakati ule akiitwa gaidi au dikteta?Erick Kabendera amefanya mahojiano ambayo yako youtube kuelezea kitabu chake alichokiandika (in the name of president (maagizo kutoka juu - kama walivyotafsiri wenyewe kwenye mazungumzo yao)).
Ukiyasikiliza vizuri hasa hasa visa alivyoelezea kuhusu utekaji watu na kuwapoteza ulivyo/unavyofanyika na mazungumzo yake mwisho mwisho akimueleza Rais hayati Magufuri na maoni yake binafsi kuhusu utawala wake, utapata somo kubwa sana kuwa kumbe bado kuna miongo mingi sana ya mambo kubadilika
Kwa ufupi sana nimejufunza kuwa bila nguvu ya umma ni vigumu sana watawala kufanya mabadiliko ya mifumo inayowalinda hata kama wao wenyewe hawapendi namna mifumo hiyo inavyofanya kazi. Ni rahisi sana mabadiliko kufanyika endapo watapata presha ya wananchi na wananchi hawawezi kutoa presha kama watabaki bila elimu ya haki zao na ujasiri wa kudai haki
Nimesikitika kusikia kisa cha jenerali mstaafu wa jeshi ambaye alipotaka kuongea naye ili kumsimulia kisa fulani ilibidi aingie chumbani, ajifungie na kama haitoshi aingie chini ya uvungu kwa hofu kwamba Magufuri anaweza kusikia mazungumzo yao! Hii ni ajabu na kweli
Kuna namna anasema kwamba mfumo wa kuteka na kuua wakosoaji alioutengeneza Magufuri utaendelea kuwepo na kuwaumiza watu kwa miaka mingi kama watawala wanaoingia madarakani hawataunda mifumo maalumu ya kisheria kushughulika na watu waliokuwa wakifanya mambo hayo mabaya kwani ni rahisi sana kuirithisha kwa watu wengine na wengine na wengine tena na hatimaye isipodhibitiwa huenda ikasababisha madhara makubwa kwa Taifa zima. Hapa anatolea mfano wa namna watu wa Hitler walivyodhibitiwa baada ya vita ya pili ya dunia na hatimaye kupelekea kuundwa kwa mahakama ya ICC
Sina hakika kama kitabu chake kitaruhusiwa kuuzwa Tanzania lakini siku hizi technolojia imekua sana zipo njia nyingi za kuweza kukisoma.
Hata hivyo, mazungumzo yake tu hayo ya takribani saa moja yana elimu kubwa ndani yake na yanaweza kukwambia Erick Kabendera ni nani na anajua nini hasa kwa viongozi wa nchi yetu
Jambo lililonisikitisha zaidi ni kusikia kuwa kumbe hata Mama mzazi wa hayati aliwashangaa waliompitisha mwanae kuwa mgombea kwamba "hawamjui huyu atawanyoosha" na masikitiko zaidi ni kuhusu stori ya hayati akiwa seminari iliyomfanya asimamishwe masomo.
Hapa nimejifunza kuwa kumbe siku hizi inawezekana ama watu wa "veting" hawafanyi kazi yao vizuri au kuna kundi lenye nguvu linabishana na kutupilia mbali maoni ya watu wa "veting" vinginevyo kama aliyoyasema yana ukweli basi wangeweza kumalizana nae mapema kabisa kabla hata ya kuchukua form
Kuna watu walimpenda sana na kupenda aina ya utawala wake, lakini isiwe kigezo cha kutokuwa tayari kujua upande wake wa pili ili kuepuka madhara mengine huko mbele. Hata Adolf Hitler alikuwa na wafuasi na waliompenda sana lakini haimaanishi yote aliyoyafanya yalikuwa mazuri